ZANZIBAR;Ina Watu Milion 1 lkn Mawaziri 25!

Jamani:

Wizara inaundwa na idara za kiserikali ambazo tayari zipo kwa miaka mingi. Hivyo basi hata kama serikali ya Zanzibar itakuwa na wizara moja basi wizara hiyo itachukua idara zote.

Na vilevile nchi yenye watu wachache haina maana itakuwa na idara chache za kiserikali.
 
Na bado, mawaziri 25, Makatibu wakuu 25, manaibu waziri 25, wakurugenzi 100, manaibu wakurugenzi 100 na kila mmoja kati ya hao 275 atakuwa na wapambe wake angalau 4.
Heko Dkt. Shein kwa ahadi yako ya kuinua uchumi za ZNZ.
Ni kichekesho sana, yaani Zanzibar ukitembea kilometa tano uko jimbo lingine la uchaguzi! Ni ufujaji wa pesa za umma.
 
Kwa hiyo tuseme kama kwa nchi ya watu m1=mawaziri 25, basi huku bara ambako kuna watu m43.7=mawaziri 1092. Kaaaazi kweli!!!
 
Kwa hiyo tuseme kama kwa nchi ya watu m1=mawaziri 25, basi huku bara ambako kuna watu m43.7=mawaziri 1092. Kaaaazi kweli!!!

Kwikwikwi:

Ndio maana wanasheria wanajazana kwenye siasa kuliko mathematicians or scientists. Sasa China yenye zaidi ya billioni moja itakuwa na wizara ngapi?
 
Na bado, mawaziri 25, Makatibu wakuu 25, manaibu waziri 25, wakurugenzi 100, manaibu wakurugenzi 100 na kila mmoja kati ya hao 275 atakuwa na wapambe wake angalau 4.
Heko Dkt. Shein kwa ahadi yako ya kuinua uchumi za ZNZ.


Na bado. Kama wakazi wako milioni moja tunataka angalau nusu yao wawe viongozi yaani laki tano. huko ndiko kuongeza ajira jamani hamjui?
 
Anfaal;

Do we need to follow what Sychellians does?Sidhani kama ina manufaa kwetu kwa ukubwa kama huu wa Baraza la Mawaziri la Dr Shein akiteua hadi Mawaziri 3 wa viti maalum!

Ahadi yake kwetu kama ataimarisha uchumi wa ZNZ kweli itatimia kwa ukubwa huu wa serikali?
Haya wewe sema basis ya cabinet ni nini? Unajua mahitaji ya mawaziri Zanzibar sio kama Bara? Unafaham Bara waziri anaonekana exceptional saana ndio maana mnakuwa na mitazamo hii? Znz, waziri ni mtu wa kawaida isipokuwa title tu.
 
JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR

· Zanzibar ilipata uhuru tarehe 10 Desemba, 1963 na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ilianzishwa baada ya mapinduzi ya tarehe 12 Januari 1964
Tanganyika ilipata uhuru wake tarehe 9 Desemba 1961 na kuwa Jamhuri mwaka uliofuata (1962).

ZANZIBAR itaendelea kuwa Nchi kamili na dola yake tutalinda mali zetu na mipaka yetu yote till the end of this world.
kama vile Mauritius,Madagasca,reunion na vyengine vyote duniani etc
our aim now is to rebuild new zanzibar and better country like it use to be before.
 
..nadhani wangerudisha yale majimbo yaliyokuwepo kabla ya Mapinduzi.

..kwa mtizamo wangu Baraza la Wawakilishi lina wajumbe wengi mno.

..juu ya hilo wa-Zenj wamebebeshwa mzigo mwingine wa Wabunge wa bunge la Muungano.

..kuhusu baraza la mawaziri wangeweza kabisa ku-consolidate baadhi ya wizara ili kuwa na wizara chache.

..Dr.Shein ameteua mawaziri watatu wasiokuwa na wizara maalum. binafsi sioni mantiki ya teuzi hizo.
 
Dawa ni kiufanya Zanzibar mkoa, Kwa hiyo SHEIN hana tofauti na mkuu wa mkoa
 
Dawa ni kiufanya Zanzibar mkoa, Kwa hiyo SHEIN hana tofauti na mkuu wa mkoa


wacha kuongea kama zoba we kuliko zoba boranikuite Ziro au Choka mbaya...u stupid man.

ndoto zenu za kuifanya zanzibar mkoa ziliisha, hamukufanikiwa malengo yenu haha Yakhe nvipi hawa wa Tanganyika mbona wanaleta Longolongo hebu mkuu kaa chini tuelewane
lol new zanzibar (1) University of Zanzibar (2)wimbo wa taifa wa Zanzibar (3) bendera mpya ya zanzibar (4) Katiba mpya ya Zanzibar (5) Vikosi vyetu vya ulinzi vya SMZ (6) Serikali mpya GNU of Zanzibar.

the next things tunarudisha kiti chetu cha umoja wa mataifa.. UN Zanzibar seat.

Hamzijui siasa za Zanzibar nyie mnazania Hawana akili kwa sababu wa kimya sana##

you people u should leave Zanzibar alone like the way it used to be before.. Zanzibar is full independence country like Mauritus, Madagasca, Seychelles, Reunion and all other world independece Islands.
Hata kama tukiwa population ndogo kivipi but styl is our country..kama hamutaki basi vunjeni Mungano mubakie na Tanganyika yenu mutuache na Zanzibar yetu.

Zanzibar islands gained independence from Britain in December 1963 as a constitutional monarchy.
 
As long as malipo ya mishahara na malupulupu ya wabunge na maafisa wajuu serikalini ni makubwa. Sidhani kama kuna atakayeona hilo unaloongelea
 
Back
Top Bottom