ZANZIBAR HAINA FISADI hata mmoja

Sasa unasubiri apology ya nini wakati bado hujaprove kama ulisema kuwa wanaopinga Muungano ni minority? Ukiprove kama ulisema hivyo nita apologize bila kuchelewa.

minority ni wewe ulileta hapa, peruzi tena huu mjadala uone kama kuna mahali nimeweka neno minority.
 
Mafisadi Wa Zanzibar Si Wa Tanzania?

AMA NI MAFISADI WA TANZANIA SI WA ZANZIBAR?

Ni Bora Tu Mngesema Mafisadi Wa Zanzibar Si Wa Tanganyika!

Kichwa Cha Habari Kikiwa Hivyo...then Tutajua Pa Kuanzia!

Na Kama Hatuko Huru..je Zanzibar Iko Huru?

What About Tanganyika?

TANZANIA JE?

Ok...lets Assume Kuwa Tanganyika=zanzibar=tanzania...then
Ni Kivipi Some Of Our Leaders Wawe Responsible Kuuza Taifa Na Wengine Wakiangalia Kisha Kusubiri Na Kuja Kusema Tanganyika Pekee Ndiyo Mafisadi?
 
Kuhani acha kutengeneza vitu visivyokuwepo

Vitu vyote vilivyosemwa vimeandikwa hapi juu. Wewe umebisha kwamba wanataka Muungano sio majority. Ukauliza hizo habari zimepatikana wapi?

Hoja yako kumbe nayo iko based on guesswork:

Basi hao mji mkongwe wamekudanganya. Wanaopinga muungano ni wasioelewa falsafa ya Taifa and I bet they are minority.

Sasa nani anatengeneza vitu au nakukumbusa ulichokisema hicho hapo juu?

Wote tunateleza midomo na vidole. Vitu viko wazi hapa. Mpaka ziundwe Tume za Uchunguzi?
 
Vitu vyote vilivyosemwa vimeandikwa hapi juu. Wewe umebisha kwamba wanataka Muungano sio majority. Ukauliza hizo habari zimepatikana wapi?

Hoja yako kumbe nayo iko based on guesswork:



Sasa nani anatengeneza vitu au nakukumbusa ulichokisema hicho hapo juu?

Wote tunateleza midomo na vidole. Vitu viko wazi hapa. Mpaka ziundwe Tume za Uchunguzi?

Labda unahitaji kwenda kwenye dictionary kusoma maana ya neno bet, kwa sababu mtu akisema anabet then unamuomba proof ya bet yake unadhihirisha kutokujua maana ya neno bet. Umefabricate issue ya majority ambayo Mura hakuizungumzia.
 
Na kama thats the case...Then wasipeleke matako yao kwenda kupiga kelele na kusema serikali ya TANZANIA HAIWAJALI!

Badala ya kusema wananyanyaswa na serikali ya TANZANIA...WASEME NI ZANZIBAR!

KWANI KAMA HUYO KARUME WENU AMEWATANDIKA SAWASAWA NA NYIE KULIA LIA HUKU MKIOMBA UKIMBIZI MAGHARIBI..HALAFU SI FISADI BALI KIKWETE PEKE YAKE..THEN CHUKUENI TIME!

WAACHE DOUBLE STANDARD!

KWANZA BALAA HILI KALETA MWALIMU!

NI BORA TURUDISHIWE TANGANYIKA YETU NA NYIE MNAOJIONA WAARABU WEUSI MUMRUDISHE SULTANI WENU TIPU TIPU AMA SEYYID SAID! DAMN IT!
 
Mafisadi Wa Zanzibar Si Wa Tanzania?

AMA NI MAFISADI WA TANZANIA SI WA ZANZIBAR?

Ni Bora Tu Mngesema Mafisadi Wa Zanzibar Si Wa Tanganyika!

Kichwa Cha Habari Kikiwa Hivyo...then Tutajua Pa Kuanzia!

Na Kama Hatuko Huru..je Zanzibar Iko Huru?

What About Tanganyika?

TANZANIA JE?

Ok...lets Assume Kuwa Tanganyika=zanzibar=tanzania...then
Ni Kivipi Some Of Our Leaders Wawe Responsible Kuuza Taifa Na Wengine Wakiangalia Kisha Kusubiri Na Kuja Kusema Tanganyika Pekee Ndiyo Mafisadi?

Hizi divisive politics ambazo wanazifanya kwa makusudi kwa sababu washaona zinawanufaisha somehow. Cha msingi ni kwetu sisi kuwa macho na kutokufanya maamuzi yetu kulingana na kauli kama hizi.
 
muungano ufe hakuna haja kuwalazimisha watu kuungana kama hawataki, muungano ni kama ndoa, na katika ndoa hakuna kulazimishana? Wazanzibar wapewe full authority, wamebakiza vitu vidogo sana, wana rais wao, wana bunge lao, wana chama chao cha mpira, wana wizara zao n.k.
 
Labda unahitaji kwenda kwenye dictionary kusoma maana ya neno bet, kwa sababu mtu akisema anabet then unamuomba proof ya bet yake unadhihirisha kutokujua maana ya neno bet. Umefabricate issue ya majority ambayo Mura hakuizungumzia.

Nimeomba proof ya "bet" kwa sababu wewe ulimuuliza Murra kapata wapi habari zake, ukapinga hoja yake, halafu ukatuletea hadithi za kuotea otea.

Siku nyingine usimuulize mtu kapata wapi habari halafu ukampinga kutumia "kuotea."

Unaweza kuiendeleza hii ishu, lakini mimi nimemaliza kwa sababu dunia imeona ulivyochemsha hapa.

Natumaini umejifunza kitu hapa kuhusu jinsi ya kujadili kitu.
 
Nimeomba proof ya "bet" kwa sababu wewe ulimuuliza Murra kapata wapi habari zake, ukapinga hoja yake, halafu ukatuletea hadithi za kuotea otea.

Siku nyingine usimuulize mtu kapata wapi habari halafu ukampinga kutumia kutumia "kuotea."

Unaweza kuiendeleza hii ishu, lakini mimi nimemaliza kwa sababu dunia imeona ulivyochemsha hapa.

Natumaini umejifunza kitu hapa kuhusu jinsi ya kujadili kitu.

Wewe ndio umeshindwa kuelewa!

Post ina mistari mingi wewe umekimbilia neno bet!

Soma vizuri unaweza kufanikiwa kuelewa,mbona lugha niliyotumia ni rahisi tu?
 
PROPAGANDA ZA ccm!

Wanaanza kujisafishia ZANZIBAR!

ccm ZANZIBAR WANAJUA TANGANYIKA ccm IMEKUFA!

Na sasa wanatapatapa!

Hivyo hawataki wapinzani wabebe NCHI KWA KISHINDO!

MIMI NASEMA HIVI...ZANZIBAR,TANGANYIKA AMA TANZANIA...WAMELIUZA TAIFA KWA KUTUMIA SERA ZA MAFIOSO WA ccm!

Sera ambazo zinalindwa na MAFISADI WOTE!

BE IT TANGANYIKA, ZANZIBAR OR HATA TZ!

BE IT KIKWETE,KARUME AMA MKAPA!
PRIOD!
 
Ni bora hata wangesema ccm Zanzibar sio mafisadi!

Then tungepata pa kuanzia!

Hata hivyo bado tungewabana tu!

Kwani UFISADI NI UTEKELEZAJI WA SERA MADHUBUTI ZA MAFIASADI WA ccm.

WETHER WANAOZINADI NI MAKAMBA,KIKWETE,ROSTAMA,KARUME AMA BENJAMIN WILLIAM MKAPA NYERERE!

SASA NA NYERERE NAYE NI NANI?

TUWAULIZE KINA MAKONGOROO NA BUTUKU?
 
Na huyu anayenadi hizi sera hapa...NI SERA ZA KIFISADI ZA TANGANYIKA ZISIZOFANYA KAZI ZENJI?


CCM Kuongeza kiwango cha MadiniBy Mike Mushi | Published 11/26/2005 | Habari Mpya |
CCM Kuongeza kiwango cha Madini


shein-2005-52.jpg

Chama Cha Mapinduzi kinakusudia kuongeza kiwango cha thamani ya madini kutoka asilimia 0.3 ya hivi sasa hadi kufikia asilimia 3 iwapo chama hicho kitashinda katika Uchaguzi Mkuu ujao.

Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk Ali Mohamed Shein amesema pamoja na kuongeza viwango vya madini hayo pia serikali ijayo itahakikisha inatengeneza vito vya madini hapa hapa nchini ili kuweza kuuza madini kwa tija.

Dk. Shein ametoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Londoni wilayani Manyoni.

Amesema suala la madini limepewa kipaumbele katika Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2005-2010 kutokana na ukweli kwamba sekta ya madini inachangia kwa kiasi kikubwa katika kuinua uchumi wa nchi.

Amewaambia wananchi waliohudhuria mkutano huo kuwa ili kufanikisha azma hiyo serikali itatoa mikopo na elimu kwa wachimbaji wadogo wadogo kwa njia ya semina na mikutano ili waweze kujua namna ya kuchimba madini hayo kitalaam.

�Baada ya kupewa mikopo, mpewe elimu kwa njia ya semina, mikutano au warsha mjue namna ya kuchimba madini hayo kitalaam�. Aliwaeleza wananchi hao ambao wengi wao ni wachimbaji wadogo wadogo wa dhahabu katika eneo hilo.

Dk. Shein amethibitisha kuwa serikali ya awamu ya nne itaendelea kukaribisha wawekezaji wakubwa katika sekta ya madini na pia itaangalia upya sera yake ya madini ili iweze kuwanufaisha wadau wote.

Amesisitiza wananchi wakichague Chama Cha Mapinduzi kwa kuwa ndio chama pekee kinachoonyesha jitihada za kuwawezesha wachimbaji wadogo wadogo kuweza kupambana na umasikini hali ambayo hatmae itawafanya kuwa na maisha bora.

Katika hatua nyingine Mgombea Mwenza huyo amewataka wachimbaji wadogo wa madini nchini kutumia fedha wanazozipata kwa kujijenga kimaisha kwa kuwa na nyumba bora, kutunza afya zao na kusomesha watoto na sio kwa anasa.

�Fedha ni fedheha, zikiwa nyingi zinachanganya kidogo hujui utazifanyia nini, unaishia sehemu ukiulizwa wewe nani na wewe unauliza pia wewe nani. Huo si utumiaji mzuri wa fedha�. Alisema Dk Shein

�Hata hivyo starehe zikizidi inachangia maambukizi ya ukimwi hilo nalo ni tatizo tukitambua ukimwi sasa ni janga la kitaifa. Hivyo hamna budi kuwa waangalifu na matumizi ya fedha�. Aliongeza
 
KUHUSU UFISADI ,TUNATAKA WAELEZE WAFANYA KAZI WALE HEWA WA IDARA YA AFYA,BAADA YA KUWAONEA NDUGU ZETU WA NCHINI PEMBA NA KUWAFUKUZA KAZI UCHUNGUZI ULIISHIA HAPO AU UNAENDELEA ?

b,KAMA MAKAO MAKUU YA WIZARA ZOYE ZIKO KWA WATAWALA WAHAFIDHINA UNGUJA WIZARA ILIKUWA KWELI HAIJUI IDADI YA WAFANYAKAZI WAKE WALIOKO NCHINI PEMBA ?

C,PESA ZA SHIRIKA LA UMEME ZILIISHIA WAPI ?

D,WIZI WA MISHAHARA YA KMKM NA JKU TENA MAKAO MAKUU SIO UFISADI , BASI NI KITU GANI ?

CCM ZNZ TUPENI MAANA YA UFISADI MNAVYO UJUWA NYINYI BASI hapo Unguja mjini !
 
HAYA...PESA ZA EPA ZILIWAPA USHINDI WA TSUNAMI WA TANGANYIKA, ZANZIBAR AMA TANZANIA?

AMA ccm ZANZIBAR WALIZIGOMEA KWASABABU ZIMETOKEA TANGANYIKA?

JAMANI HIZI HABARI NI PROPAGANDA!

KAMATENI MAFISADI MSITUCHAFULIE JAMVI!

KAMA KWELI MUNAI HESHIMU JF..BASI KULETA HABARI KAMA HIZI HAKUNA TOFAUTI NA KULIDHARAU JAMVI LETU!

NA PIA KUWEKA HABARI KAMA HIYO MAGAZETINI..NA KURUHUSIWA NA CHAMA CHAO KUFANYA HIVYO...THEN WANANCHI NAO SASA NI ZAIDI YA KUSEMA TU MUMEWADHARAU..!

DHARAU SI KITU!

MMEIUZA NCHI NA WANANCHI WAKE NDANI!

HUO NI UAHINI!

WE WANT OUR COUTRY BACK!
 
Wale wanaosema Muungano ufe wasifikiri WAZANZIBARI tutakubali kwanza ni lazima CCM wahafidhina washindwe ,halafu watakaokuja waujadili Muungano kwa kina wakishirikishwa wananchi ,kinachodhoofisha Muungano kwa sasa ni siasa za wahafidhina tu na ndio zinazouhatarisha Muungano si ni juzi tu walisema warudishiwe ASP yao ,hapo peke yake inatakiwa kwa kila MTANZANIA ajue kuwa watawala waliokuwepo ni tatizo ,na zaidi wanajiweka katika sehemu mbili moja wanajikaribisha sana kwenye Serikali ya Muungano hapo hutumia kivuli kuwadidimiza wananchi wa ZANZIBAR , pili wanapobanwa hutumia ZANZIBAR ni nchi inayo maamuzi yake na kama hamtaki turudishieni NCHI yetu au hujidai kusema Chama chetu , hivyo utawaona watu hawa wapo kwa ajili ya maslahi binafsi na sio kwa ajili ya Muungano au wananchi.
 
Mwiba nakubaliana na wewe na ndio maana kunakupakaziana kwa mzungu kuhusu HIZBU etc etc.
Hawa watu nani aliwapa nchi?
Maana huko tuendako sijui!
Hawa watu uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana!
Ni kivipi wahatarishe migawanyiko na machafuko ili tu washinde?
Nani kasema kuna watu ama chama flani kutawala milele?
Hiyo ni zamani wakati ccm kikiwa na DINI YA UJAMAA!
NA SASA WAHAFIDHINA?
Kizazi kipya hapa NOMA!
 
ufisadi zanzibar mbona ulianza zamani.....na hata huo wa bara nafikiri wali copy ufisadi wa znz tu!
zanzibar nzima ishauzwa kwanza.....kuna mpaka visiwa vizima "vimekodishwa" kwa waitaliana kwa miaka 99. whole islands!
 
Hayawi....yamekuwa

Huyo waziri naona zimefyatuka kumkichwa,hao mawaziri mafisadi ni mawaziri wa serikali ya Tanzania,si Tanganyika.

Nilikuambieni mapema,Wazenj ni wabaguzi wa kutupwa,Agenda zao za kila siku ni kuona influence ya mwarabu inarudi zenj,so uwepo wao ndani ya muuongano unawanyima fursa hiyo.

Muungano hauna faida zozote kwa Mtanganyika mwene akili timamu.Wazenj ni mzigo mkubwa kwa Watanganyika.Ni heri wafunge vinywa vyao.

Muungano si ndoa.Ndoa ni ile yenu na mwarabu ilovunyika,1964,nawaombeeni muirudisheni.

Siwapendeni hata kidogo,naombeeeni hiri li muungano livunjike mapema.
 
Kama Zanzibar kungekuwa hakuna ufisadi kusingekuwa na umaskini. Kuna miradi mingi tu makampuni yanapewa kwa kuwa shemeji yuko mahali fulani na kwa sababu nyingi nyingi za ajabu, Tusidanganyane ufisadi Zanzibar upo!
 
Back
Top Bottom