Zantel Free PDproxy Premium Account for Free

Kaka ni kweli kabisa mimi natumia pd prox demo kama ulivyotupa maujanja hivyo naomba na mimi nipate hiyo premium account tafadhari.
:amen:
  • A%20S-confused1.gif

Prize ordy taken by Chief mkwawa ambaye anaonekana alikua anafahamu hiyo kitu kwa compared na waliomtangulia. Next month unaweza ukawa ww uliyekosa this tym.
 
why do you think hazikubali, japokuwa unaweza kuconnect hata kama haina fedha???

hii ni kwa sababu zantel wana kasoro kwenye port fulani. usiitaje jina lake. ambayo mitandao yote mengine hamna kasoro hiyo
 
hakuna cha bado sana. states nyingi za india hii kitu haikubali na mwanzo ilikuwa inakubali. airtel ya tanzania ipo secure. hakuna open port kaka
 
Nimejaribu kufanya hayo yote kwa line yangu mpya ya Zantel lakini inashindwa kukonect! Tatizo linaweza kuwa nini?
 
hakuna cha bado sana. states nyingi za india hii kitu haikubali na mwanzo ilikuwa inakubali. airtel ya tanzania ipo secure. hakuna open port kaka

4/2/2012 sure toka hiyo tarehe VPN ni kitendawili kwa INDIA
 
hakuna cha bado sana. states nyingi za india hii kitu haikubali na mwanzo ilikuwa inakubali. airtel ya tanzania ipo secure. hakuna open port kaka

Sio kweli kua airtel tanzania haina opert port, ipo 9200 sema tofauti ya airtel tanzania na airtel india ni kwamba airtel tz haiconect ukiwa na sh 0 au 4 ila airtel india ina conect.

Kuthibitisha unga bundle au eka hela line yako ya airtel then open pd proxy eka port hii 9201 au 9200 kiulainiii itaconect huku inakula hela utachoambulia speed kuongezeka
 
Back
Top Bottom