Zamu ya Zanzibar Urais 2015?

Wazanzibar wamepewa nafasi nyingi katika dola ya muungano lakin hakuna anayeshukuru hata wakipewa Urais tujalie bado watazidi kutubagua jaman hawa watu hawatupendi hata kidogo sisi tunaoishi uku visiwani tunakoma na ubaguzi na maneno yao machafu..........Tena bora mtu wa Unguja hana chuki na Wabara kama Mpemba jaman me siwachukii huu ndo ukweli hawatupendi muwape Urais msiwape itabaki ivyo ivyo hata mkiwa **** hawatawapenda...tena wenyewe wanawaita watu wa bara Machogo
 
kabisaaa maana tumempa muislam nchi miaka 10 ameiharibu nchi imeoza na udini/ukabila ndio umeongezeka kuliko miaka mingine katika historia ya taifa letu......

Akili za kikanisa hizo za kupeleka maiti kanisani afufuliwe ndo zinazo wahangaisha.
 
hakuna kitu kama hicho na sisi warombo 2nataka rais atokee ROMBO na sisi WAROMBO 2nahaki zetu kutowa rais
 
Tunahitaji kiongozi pragmatic,intelkigent surrounded with smart aides to move this country forward

Sifa hizi kwa bahati mbaya are not confined in a special tribe,race ,geographical region or religion.

Infact your affiliations should not be elevated or sacrificed in to your love for better and prosperous Tanzania

Americans and Brits where our current constitution system emanates,in their checkered history they'd achieved a milestone by electing leaders by considering the above qualities focusing on ideals of humanity based on opportunities,equity and fratenity as values for for being an American or English.
 
Mgombea kutoka zanzibar au zimbabwe?

Halafu mtoa maada chunga mdomo wako, hakuna kundi la kupambana na ufisadi katika chama cha mafisadi (ccm)
 
Mgombea kutoka zanzibar au zimbabwe?

Halafu mtoa maada chunga mdomo wako, hakuna kundi la kupambana na ufisadi katika chama cha mafisadi (ccm)

Makundi mawili yaliyopo ni kundi la mafisadi na kundi lianalotafuta njia ya kuwa mafisadi au kundi linalotafuta ufisadi kwa lugha fupi

Mgombea toka zimbabwe hatumtaki sababu ataleta uamsho

Good day
 
Elewa kwamba rais ajaye ni LAZIMA awe MKRISTO. Waislam hawana chao 2015.

jamani huu sio uchaguzi wa papa, mchungaji, askofu wala sheikh. tunataka kiongozi anayeyaelewa vema changamoto zinazotukabili, anayefahamu chanzo cha changamoto hayo na namna ya kukabiliana na changamoto hizo.....kiongozi mzalendo, pro people, muadilifu, mchapakazi, mbunifu na focused.....ambaye tukimwangalia USONI TUNARIDHIKA KUWA HUYU ATATUVUSHA .......dauti yangu ni je tuna mfumo mzuri kutoka vyama vya siasa kutuletea huyo mtu.......
?

mix with yours
 
Siioni nafasi yoyote ya Mwislam kuwa rais 2015. Hii ni kutokana na record mbovu ya utendaji kazi ya Mwinyi na JK. Pia ni kutokana na mfumo tuliouzoea.
 
kama dar ni nchi huru sawa watabaki ila kama ni sehemu ya tanganyika waunguja na wapemba lazima warudi kwao....ushawahi kukaa zanzibar uone hawa jamaa walivyo wabaguzi mtanganyika kumiliki ardhi kwao mizengwe kibao .......hapa muungano ukivunjika kila mtu kwao hawa jamaa wapo kila kona ya nchi hii na wala sio dar tu

Zanzibar siyo wabaguzi isipokuwa wanauthamini utamaduni wao na hawataki kulazimishwa tamaduni zisizokuwa zao. Kama ulisoma post yangu nimesema kwamba waunguja na wadarisalama ni ndugu kwa miaka mingi tena kabla ya huo muungano wenu. Na uthibitisho no kwamba Ali Hassan Mwinyi na Aboud Jumbe wote ni wadarisalama na wamewahi kuongoza nchi Unguja. Kama wazanzibari ni wabaguzi, ilikuwaje Ali Hassan Mwinyi awe rais Zanzibar?

Kwa taarifa yako, sisemi kuhusu wapemba lakini waunguja na wadarisalama walikuwa ndugu kabla ya muungano na watabakia kuwa ndugu baada ya muungano. Utaondoka wewe hapa Dar kabla hajaondoka Muunguja.
 
1.zanzibar siyo wabaguzi isipokuwa wanauthamini utamaduni wao na hawataki kulazimishwa tamaduni zisizokuwa zao. Kama ulisoma post yangu nimesema kwamba waunguja na wadarisalama ni ndugu kwa miaka mingi tena kabla ya huo 2.muungano wenu. na uthibitisho no kwamba ali hassan mwinyi na aboud jumbe wote ni wadarisalama na wamewahi kuongoza nchi unguja. 3.kama wazanzibari ni wabaguzi, ilikuwaje ali hassan mwinyi awe rais zanzibar?

Kwa taarifa yako, sisemi kuhusu wapemba lakini waunguja na wadarisalama walikuwa ndugu kabla ya muungano na watabakia kuwa ndugu baada ya muungano. 4.utaondoka wewe hapa dar kabla hajaondoka muunguja
1.kama kuwabagua watanganyika kumiliki arhdi ni utamaduni wao basi utamaduni waoni wa kibaguzi .

2.huu muungano ni wetu sote waunguja na watanganyika kasoro wapemba labda kama mwenzangu ni mpemba..alafu kuwa na undugu ni kitu cha kawaida kwa watu wa mipakani ukienda mbeya ,mara, mtwara, lindi,kigoma hali iko ivyo

3.kwa sababu ni mzanzibar

4
.muungano ukishavunjika ndo utaona...watabaki kama wakibadilisha uraia wao...hata sudan kuna wasudani kusini waliobakia kaskazini....dar es salaam haina mwenyewe kila upande kuna watu wa jamii fulani ipo kwa wingi kwa mfano mbagala kuna watu wa kusini wengi (wamakonde na wengineo) ukonga wamejaa watu wa mara,mbezi na kimara kuna watu wa kaskazini wengi kama wachaga na wengineo hivyohivyo ukienda karikoo na sehemu zingine
 
Kwa katiba ya sasa ya SMZ hiyo itakuwa ngumu. Labda kama na rais wa SMZ atatoka Bara

'Zanzibar ni nchi bwana' una maana Tanganyika unaitafutia rais wa kigeni? Waachie watanganyika wajitawale wenyewe, kama vile wazenji wanavyojitawala.
 
Tusikazane kufikiri Rais atatoka wapi. Bila shaka hatuelewi kuwa tunapojichagulia viongozi tuaowataka wenyewe madhara yake tunayasahau. Tumwombe Mungu Rais atakayetufaa, atuonyeshe awe anatoka wapi japo kujiwekea malengo si vibaya lakini kumbuka unachoomba ndicho unachopewa. Tuombe uongozi wa Mungu ili kupata viongozi wazuri
 
Back
Top Bottom