Zamaradi amewaza nini kumhoji Gigy Money?

I watch an interview (Gigy vs Zamaradi), at first I thought I was in my dreams, but after realising she is 'harage la Mbeya' nikaelewa.
Huyu dada hata maombi hayawezi kumuokoa, sounds and looks cursed.
 
Kuna tatizo la Point of View.
Mimi naona Giggy kaongea vizuri sana.
Anasema yeye alikataliwa na wazazi wake tangu kabla hajazaliwa, na anaelezea kuwa hata kuzaliwa kwake kulimsononesha mama yake.
World has created her

Nafikri watu wengi wanachukia matokeo lakini si sababu ilizomfanya huyu binti kufanya hayo anayofanya.
Kwa upande wangu kwanza nampongeza mtayarishaji wa kipindi pia ninampongeza huyu binti mdogo masikini kwa ujasiri wa kufikia hapo alipo (ingawaje si pazuri lakini ni bora kuliko angekuwa jambazi)

Ni kwanini ninasema haya:
Kwanza ukiangalia histori yake ni kuwa huyu binti masikini hakuwahi kupendwa, hakuwahi kupendwa na baba yake na hakuwai kuona penzi la mama, Kama tunavyofahamu mapenzi ya hawa watu wawili ambao ndio walezi wako wakuu katika hii dunia ni muhimu lakini binti huyu hafahamu nini mapenzi ya mama au baba.

Pia ni mtoto ambaye ameanza kuonja machungu ya wamama wasiojua umuhimu wa mtoto, wamama wapelekao hasira za mabwana zao kwa watoto wao, wamama wanaoamini kuwa ugonjwa au ukilema wa aina yeyote unaletwa na malaika (watoto).

Ukimsikiliza kwa makini unaona ni binti anayetafuta penzi la mama yake, ni binti ambaye yuko tayari kufanya kitu chochote hata kuuza mwili wake ili apate mapenzi ya mama, Unaona jinsi haya maisha yalivyomhadhiri mpaka anafanya vitu vya ajabu yeye haoni kama ni ajabu kwani shida yake ni awe na mahusiano mazuri na mama yake.

Kwa kweli huyu binti ni kuwaonea huruma na pia liwe funzo kwa vijana ambao wako njiani kupata watoto pindi upatapo mtoto, mpende na mdhamini kwani mtoto hiyo ni zawadi tosha..Msiwanyayasa watoto kwa makosa yenu wenyewe au kwa makosa ya wenza wenu ukumbuke mtoto ni mtoto na hana hatia na mtoto hawezi kuchagua ni wazazi wapi nizaliwe nao.
 
YAWEZEKANA ZAMARADI AMELIPWA KUFANYA HICHO KIPINDI SIO BUREE
Alipwe wapi juha huyu kuzaa na ruge anadhan clouds ndio anaimiliki .hii ndio shida ya kuleta mapenzi kazin...ngoja wapigwe faini...ila tcra nao wako wapi khaaaaa... yn kuna mda c redio si baadhi ya statiion hovyooo unaona bora tu usikilize gospel mana hujui kitaoneshwa nn au mtangazaji ataongea nn na uko na watu unawaheshimu...wamekosa adabu kabisaaaa..redio siku hizi ndiio kabisaaaaa
 
Serikal inabaki kudili na UKUTA wakati jamii inateketezwa kimya kimya na media zao huku. Makondo anaamkia hapo anashindia hapo unategemea watakifungia hiicho kipind
Tena huyu mkuu wa mkoa namshangaa sana why kila siku yy na wasaniii yeye na media afanye kazi afate mifano ya walotangulia .huyo sapi sijui hapi nae ndio anafata nyayo..kwan dar ni ya wasanii tupu....WANABOOOOOA kuchaguliwa vijana sio ndio wawaendekeze hao wapuuz
 
NINGEMUONA KICHAA ZAIDI ANGESEMA AMETOKA NA MZEE MUTAHABA . MAANA PALE HUPEW AIRTIME MPAKA UTOE NASIKIA KAPEWA KIPINDI CHOICE FM STATION YA BWANA MUZEE TENA CHA USIKU AWE MPINZANI WA DIVA NA LEMUTUZ

Ndio alichokua anakitafuta zama...haha..mjanja kweli....anamjua baba watoto wake
 
Mkuu nikishasema huyo dada ni anapenda kurukia rukia mambo ili apate Spotlight!
Aonekane ndie mtangazaji bora!

Kaacha kufatilia filamu anakimbilia mambo ya umbea umbea tu.
Yani me ndio nashindwa kbs kumshangaa, ndio nikajiuliza au siku hizi hakuna kabisa filamu kiasi cha kutuletea watu tofauti tofauti?
 
Nimeangalia interview online. Wanaomhukumu huyu dada ni v.ilaza na ni watu narrow minded kusema ukweli. Unayemhukumu kesho anaweza akawa mtu bora zaidi yako wewe unayetoa mapovu...
 
Aliyasema hayo alipokuwa anahojiwa na Zamaradi Clouds Tv, anadai wengine alikuwa analala nao kwa kuwa anawapenda kweli na wengine alikuwa akilala nao kwa kuwa walikuwa wanampa kitu
mfuatilie zaidi kwenye mahojiano yake hapo
 
hata kuna mtu anayesoma hii post yawezekana hatambui idada ya watu aliye fanya nao sema gigi amekuwa mkweli kabisa ila kuna wengine waongo waongo sana
 
Huyu dada huwa siamini maneno yake, mfano kutembea na hao wote aliowataja sidhani kama ni kweli...nafikiri ni anatafuta tu kiki.
 
haijapita hata mwaka giggy kashafanya yake kwa msando,,,,, kweli giggy ni malay.a sana
 
Back
Top Bottom