Zain Vs Airtel

BIG X

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
777
212
Nafikiri Airtel imeshindwa kuifunika au kuipoteza Zain.

Mpaka leo watu bado wanatumia Zain wakimaanisha Airtel. Watu wengi wanaponunua Airtime utakuta wanasema nipe Zain 1000, 2000 etc etc... Au mtu anamwambia mwenzake weka Zain etc etc...... Mi binafsi nimeshindwa kabisa kushift mara nyingi natumia Zain na sio Airtel.... Nimekuja kujua sio peke yangu....... Tupo kibao... Usikute na wewe unayesoma ni mmoja wapo.

Nadhani Zain inavutia zaidi kuliko Airtel.
 
Haa, Mbona ni uchambuzi wa kitoto sana, hata mimi wananiita Likwanda lakini ndio mimi yule yule mwenye jina la Mbekeche sasa cha ajabu hapo ni nini?
 
Mimi napenda zaidi "celtel"! Actually line yangu mpaka leo bado ina display celtel!
 
Jina la Zain lina mvuto sana kwangu kwan linataka kufanana na la my mupenzi,so hakuna wa kunishawishi nitamke vinginevyo!!
 
Zain Zain Zain.............. wala Airtel zote hazivutiii!!!!!!!!!! kitu TTCL bana.
 
Celtel - making life better hii ndo yenyewe bwana, mi siku zote nasema celtel na watu wananielewa
 
Si kwamba hali sound good. Ila watanzania wamechoshwa kuzungushwazungushwa. Kitu ni hichohicho lkn kila siku wanabadili jina.
 
Mi nilikuwa na demu wangu wakati nipo SECONDARY alikuwa akiitwa ZAIN-ABU MSUYA. Mtoto alikuwa mtamu yule sijapata kuona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom