BIG X
JF-Expert Member
- Nov 4, 2011
- 777
- 212
Nafikiri Airtel imeshindwa kuifunika au kuipoteza Zain.
Mpaka leo watu bado wanatumia Zain wakimaanisha Airtel. Watu wengi wanaponunua Airtime utakuta wanasema nipe Zain 1000, 2000 etc etc... Au mtu anamwambia mwenzake weka Zain etc etc...... Mi binafsi nimeshindwa kabisa kushift mara nyingi natumia Zain na sio Airtel.... Nimekuja kujua sio peke yangu....... Tupo kibao... Usikute na wewe unayesoma ni mmoja wapo.
Nadhani Zain inavutia zaidi kuliko Airtel.