Zaidi ya dagaa

Bellino

Member
Jan 29, 2012
65
10
Kauzu..Kaanguka na kazirai nje ya kiwanda cha bia (TBL) wasamaria wema na wafanyakazi wakampa huduma ya kwanza kwa kummwagia maji ili azinduke..
mara akazinduka kwa ukali akapayuka "nyie washenzi*"@ nini ningekuwa na shida ya maji si ningeenda kuangukia DAWASCO.
 
hahahaaaaaaa.. kali aiseee
 
Back
Top Bottom