sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,073
Ulikuwa na mwili wako wa kawaida tu lakini ghafla imeshaanza kuwa kawaida kuambiwa "Umenenepa siku hizi?”
Kama una nia ya kurudisha mwili uwe wa kawaida siwezi kusema ni rahisi ila inahitaji uwe na nia thabiti. Dawa ni hii hapa. Ni mwezi moja tu. Milo miwili tu kwa siku!
Unavyoamka kula mahindi si zaidi ya matatu ya kuchemsha pamoja na maziwa ya mgando.
Baada ya masaa 8 piga msosi ugali au wali sahani moja tu. Nyama iwe ni samaki au dagaa tu.
Kila siku uwe unakunywa lita moja ya maji.
Kila siku uwe unakimbia raundi 5 tu uwanja wa mpira, ukiongeza si mbaya.
IMEISHA HIO. Rudia tena kesho.
Masharti;
1. Usile nyama (ule samaki tu)
2. Usinywe zaidi ya bia moja kwa siku, usinywe soda.
Fanya hii mwezi mzima kwa nia thabiti, kama huwezi kapigwe sindano za kisukari za milioni 2 ila jipange cancer / saratani.