Naomba niseme wazi kuwa yule ndiye mtu sahihi kwa ccm kwa muda huu ambao mambo yanaenda kombo.ni ngumu watu kunielewa lakini naamini yule mzee akirudishwa hizi mbio za cdm zitaisha fasta na maisha yataendelea kama kawaida.
Kwa nini siyo Mangula?

Seif al islam, naomba nikuulize tumaswali tudogo tu;
Nakuomba kwa heshima na taadhima urudi fasta uniondolee hiki kiwingu kinachonizuia kuona hayo mafanikio chini ya Yusufu Makamba!
- Kwa nini ungependa mbio za Chadema ziishe fasta?
- Je hayo maisha ya kawaida unayowatakia Watanzania ni maisha ya aina gani?
- Kwa nini unaamini maisha ya Watanzania yataendelea kama kawaida bila Chadema?
- Je ni Chadema ndio ndio chanzo cha maisha ya Watanzania kwenda kombo?
- Na mwisho hayo maisha ya kawaida yalikuwa yapi kabla ya Yusufu Makamba kuachia ngazi?