Yupo wapi huyu Bilionea wa kiarusha, Elisante?

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,630
3,579
Huyu kijana alivuma sana miaka ya tisini kipindi kile nilipokuja arusha alikuwa akizungumzwa sana sasaivi yupo wapi?
 
Hv huyu Elisante alikua bilionea kumbe?mi nakumbuka kwa history yake ya kulamba totoz arusha!kila dem mkali lazma awe wake
 
Huyu kijana alivuma sana miaka ya tisini kipindi kile nilipokuja arusha alikuwa akizungumzwa sana sasaivi yupo wapi?

Elisante sidhani kama ni muarusha....well.....yupo sana......tu.....kawa mtu mzima siku hizi.....
 
Elisante Stanley au mwingine

sidhani kama alishwahi kuwa au kunusa u-bilionea. Nadhani alipata kurithi mali za baba yake marahemu ambazo kimsingi ni za familia.

Unless anayeongelewa ni stanley mwingine

cc
Preta
 
sawa sawa...yupo wapi sasa,maake hata mimi nataka jua.

yupo sana town.......sijajua anajishughulisha na nini kwa sasa.......ila anaonekana........
tulikuwa tunajua habari zake enzi zile....saa hii kila mtu anajua kutafuta pesa........
 
?elisante stanley au mwingine

sidhani kama alishwahi kuwa au kunusa u-bilionea. Nadhani alipata kurithi mali za baba yake marahemu ambazo kimsingi ni za familia.

Unless anayeongelewa ni stanley mwingine

cc
Preta

Elisante Stanley mwanda alikufa long time alipata ajali ya gar alikuwa mzinz laana nimesoma na dadake na msban nlienda
 
elisante stanley mwanda alikufa long time alipata ajali ya gar alikuwa mzinz laana nimesoma na dadake na msban nlienda

Nadhani umebugi hapa . Utakuwa unamsemea baba yake . Umesoma na dada yake yupi Herieth ama nani ? Jamaa yupo mjini sana tu namwonaga akiendesha ford ranger ya silver ila yale makeke yake yameisha . Mawe yamegoma kutoka kwenye mgodi wao hadi aende naijeria au india lol.
 
elisante stanley mwanda alikufa long time alipata ajali ya gar alikuwa mzinz laana nimesoma na dadake na msban nlienda

Hapana Flora........Elisante hajafa......labda unamsemea Baraka ambae alikuwa rafiki yake ndio alikufa.....
 
Hv huyu elisante alikua bilionea kumbe?mi nakumbuka kwa history yake ya kulamba totoz arusha!kila dem mkali lazma awe wake

Mkuu sasa hivi anakula skrepa kwa kwenda mbele... lol.
 
hivi huyu mtoto wa Mwanda Elisante Stanley aka Santeee si inasemekana aliliwaga kiboga na wapambe wa Bob Sambeke... Tangia hapo akawa kimyaaaa
 
Elisante Stanley mwanda yupo arusha anaishi moshono, ameoa na ametulia sana pia hana makeke. Sasa hivi ameokoka anasali kanisa la Calvary Kijenge mwanama karibia na kiwanda cha Banana Wine. Hata jana alikuwa kanisani tena kuna rafiki yake wa mawe anaitwa Francis alitoa ushuhuda jinsi jamaa yao mwengine Juma alivyouwawa this April katika biashara ya mawe.

Elisante hajafulia kivile ila amekubali utu uzima na ndio maana hata ameamua kumrudia Bwana.
 
Back
Top Bottom