Huyu kijana alivuma sana miaka ya tisini kipindi kile nilipokuja arusha alikuwa akizungumzwa sana sasaivi yupo wapi?
elisante sidhani kama ni muarusha....well.....yupo sana......tu.....kawa mtu mzima siku hizi.....
sawa sawa...yupo wapi sasa,maake hata mimi nataka jua.
Elisante sidhani kama ni muarusha....well.....yupo sana......tu.....kawa mtu mzima siku hizi.....
?elisante stanley au mwingine
sidhani kama alishwahi kuwa au kunusa u-bilionea. Nadhani alipata kurithi mali za baba yake marahemu ambazo kimsingi ni za familia.
Unless anayeongelewa ni stanley mwingine
cc
Preta
elisante stanley mwanda alikufa long time alipata ajali ya gar alikuwa mzinz laana nimesoma na dadake na msban nlienda

Hv huyu elisante alikua bilionea kumbe?mi nakumbuka kwa history yake ya kulamba totoz arusha!kila dem mkali lazma awe wake
hivi huyu mtoto wa Mwanda Elisante Stanley aka Santeee si inasemekana aliliwaga kiboga na wapambe wa Bob Sambeke... Tangia hapo akawa kimyaaaa