Thanks mkuu nimependa maelezo yako. It is likely kama Chidi bado anasafiri na generation ya sasa ya kina Marioo.Chidbenz ni mkali sana wa miaka hiyo mwaka 2009 na 2010 ni msanii aliyepata Kolabo kuliko msanii yoyote...
Hao watu unaowataja ni Generation tofauti Daz baba AKA Daz mwalimu ni mkongwe kidogo na ana heshima zake kwenye Bongo fleva ila huwezi kumlinganisha na Mfalme wa ilala
Ila Chidi Benz anaweza kuimba pia, kuna wimbo aliimba na Mzee Yusuf, MashallahIt seems like you know nothing about music,Daz Baba ni muimbaji na Chid Benz ni Rapper so, hawa watu wawili wanafanya music tofauti huwezi kuwapambanisha!
Hili goma ni hatari na nusu aisee.Ila Chidi Benz anaweza kuimba pia, kuna wimbo aliimba na Mzee Yusuf, Mashallah
kabisa mkuu, hata video yake ni kali.Hili goma ni hatari na nusu aisee.
Hapana, chidBenz huwez kumlinganisha na Mario wala mtu yoyote wa kizazi hichi..Thanks mkuu nimependa maelezo yako. It is likely kama Chidi bado anasafiri na generation ya sasa ya kina Marioo.
Huo mstari wa mwisho umeandika uongoHapana, chidBenz huwez kumlinganisha na Mario wala mtu yoyote wa kizazi hichi..
Hii Ni sawa na kusema Baba yako kwa kuwa yuko Hai Bhasi analingana na Wewe!
Hii ndo ilimfanya Noorah (Shytown King) kuacha Mziki mara baada ya Ngwair Kufariki
We unajua au unahisi kwanini Noorah aliacha Kuimba??Huo mstari wa mwisho umeandika uongo
sasa si akajifunze kizungu au aendelee tu kuchapa kiswahili. Afu anadanganya jamii live🤣
Genre tofauti, Generation tofauti, sijui unalinganisha nn, au size ya balls?wakuu naomba maoni yenu hapa, nani ni mkali wa kuimba kati ya Chidi Benz na Daz Baba? Yupi ana hit records nyingi sana? kwa jinsi unavyoona.
Kumbe ni generation tofauti.Genre tofauti, Generation tofauti, sijui unalinganisha nn, au size ya balls?