Ni muda sasa Waandishi muache kumuhoji Chid Benz

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Kama wewe ni shabiki wa Chid Benz na umekuwa ukifuatilia mahojiano yake utagundua kuwa hayupo sawa.

Chid Benz amekuwa na Interviews nyingi ambazo zimekuwa zikitumiwa kama kichekesho kwa baadhi ya watu waliokosa uungwana.

Chid amekuwa anaulizwa maswali na anajibu tofauti hali unayofanya tuhisi kuwa Icon hayupo sawa, ni muda muafaka sasa Waandishi muache kumuhoji Chid maana nahisi anahitaji msaada na sio kufanywa kituko mbele ya Kamera.

ANGALIA HAPA INTERVIEW

Hayo ni maoni yangu binafsi kama Mjanja M1, kama yatapingwa ni sawa pia.

Written by Mjanja M1
 
ANGALIA HAPA MOJA INTERVIEW
View attachment 2889586

Hayo ni maoni yangu binafsi kama Mjanja M1, kama yatapingwa ni sawa pia.

Written by Mjanja M1
Shida nayeye binafsi anayakubali hayo mahojiano na yanamweka mjini kibongo bongo🤔🤔
 
Shida hizi online tv zimekua kama utitiri, na wote wanasaka contents, na wabongo tunapenda kuangalia ujinga na umbea, ndo maana wanawatafuta watu kama chidi anapoozwa hata laki 2 wanafanya nae interview wanajua hela itarudi tu

Huwezi kuta wanahoji mawaziri kuhusu maswala ya umeme Wala sukari, ila utakuta wanamuuliza gigy kwa siku unavaa chupi ngapi, ndo content wanazoona sawa kutuletea

Shenzi
 
Hivi ni kweli waraibu kwa asilimia kubwa huingiliwa kinyume na maumbile ili tu apate chochote kitu kwenda kutoa arosto?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom