Yupi bora, mke msagaji au mke malaya?

Bora malaya kwani anatumia sehemu husika kwa matumizi husika ingawa anazidi kwa kugawa gawa. Usagaji ni dhambi bana na sidhani kama ni starehe kivile ati.
 
Bora malaya kwani anatumia sehemu husika kwa matumizi husika ingawa anazidi kwa kugawa gawa. Usagaji ni dhambi bana na sidhani kama ni starehe kivile ati.
<br />
<br />
so umalaya sio dhambi? Kama dhambi zote ni dhambi na hukumu zake ziko pale pale.
 
Usagaji hauna shida bana'anachofanyiwa na mwanamke mwenzie na ww unaeza'umalaya kuna mengi'kinyumenyume'isitoshe ile ni starehe ingine'
 
Bujibuji at work!umewaza nini mkuu mpaka ukaamua kuleta hi kitu!!wote hawafai
 
Hili swali ukilibinua linasoma hivi:-

Yupi mwanaume bora Basha/Shoga au Muhuni? Majibu tafadhari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom