Yummy!!

Usisahau nna paswed yako. You better be careful before I change my mind. Ebo!

We ndo unaharibu kabisaaaa sijui saingine huwa unafikiria kutumia PUA! Mie nawaleta huko makusudikali ili ujionee,wewe unaanza kutoboa masiri yetu....umeniuziiii sikupi leo ng'ooooo
 
Hahahahaaa KARIA weeee KWANZA, utaniweza mie kweli????? Hebu mchombeze Asprin akuelezee mambo yangu ndo utajua kama utanimudu.
PILI, unajisikiaje kutongoza mke wa mtu lakini???tena wa mzee mzima Asprin walau ungekuja chobingo unchombeze sasa wewe umeingia mzima mzima wangu!!usiniharibie ndoa yangu jamani ni tamu sanaaaaaaaaaaaa ntapata wapi wa kunidekeza mwingine YUMMY mie

Yummy karibu hapa mlangoni mwa nyumba yangu utakuta talaka zako milioni moja wapelekee watu wa kijijini mwako wote uwaambie umeachwa rasmi mpelekee mama na baba yako na dada yako na mke wa kaka yako na babu yako na mjumbe wa mtaa na balozi na mjukuu wa bibi na kitukuu cha babu na jirani yako na dada yako na mwanafunzi uliyesoma nae msingi kuwa umeachwa rasmi na jamaa mmoja anaitwa Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky wivu siyo dawa,
kwani nani alikuambia uende mgodini umwache
Yummy,
endelea kulia na roho yako tu, kizuri unakula na wenzio.

Yummy karibu hapa mlangoni mwa nyumba yangu utakuta talaka zako milioni moja wapelekee watu wa kijijini mwako wote uwaambie umeachwa rasmi mpelekee mama na baba yako na dada yako na mke wa kaka yako na babu yako na mjumbe wa mtaa na balozi na mjukuu wa bibi na kitukuu cha babu na jirani yako na dada yako na mwanafunzi uliyesoma nae msingi kuwa umeachwa rasmi na jamaa mmoja anaitwa Mr Rocky
 
Yummy karibu hapa mlangoni mwa nyumba yangu utakuta talaka zako milioni moja wapelekee watu wa kijijini mwako wote uwaambie umeachwa rasmi mpelekee mama na baba yako na dada yako na mke wa kaka yako na babu yako na mjumbe wa mtaa na balozi na mjukuu wa bibi na kitukuu cha babu na jirani yako na dada yako na mwanafunzi uliyesoma nae msingi kuwa umeachwa rasmi na jamaa mmoja anaitwa Mr Rocky

Mimi Yummy na wewe Mr Rocky kamweeeeee hatuwezi tenganishwa na watu hovyo hovyo.....sasa ni wapi umeona nimemkubali KARIA jamani???kama si uonevu huuu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom