Yummy!!

Jamani Yummy mbona kimya mno la aziz! Funguka nafsi yangu ipate tulia!
 
Jamani nafsi yangu imemdondokea Yummy mke wa mtu! Karibu njoo kipande yangu achana na huyo babu Asprin!

Hahahahaaa KARIA weeee KWANZA, utaniweza mie kweli????? Hebu mchombeze Asprin akuelezee mambo yangu ndo utajua kama utanimudu.
PILI, unajisikiaje kutongoza mke wa mtu lakini???tena wa mzee mzima Asprin walau ungekuja chobingo unchombeze sasa wewe umeingia mzima mzima wangu!!usiniharibie ndoa yangu jamani ni tamu sanaaaaaaaaaaaa ntapata wapi wa kunidekeza mwingine YUMMY mie
 
Last edited by a moderator:

na ma4some yetu je??
 
Hivi Karia,wake za watu unawatakia nini?
Hivi hujui hata huyo Asprin wenu anazuga? Unaijua sehemu moja inaitwa Nanjinjiri huko Liwale? Ushawahi sikia mtu anageuzwa nyoka?

sio mimi ila mtima wangu na nashukuru kunipa taarifa **** hata babu anazuga tu! Kwa chaguo langu ni sahihi.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa KARIA weeee KWANZA, utaniweza mie kweli????? Hebu mchombeze Asprin akuelezee mambo yangu ndo utajua kama utanimudu.
PILI, unajisikiaje kutongoza mke wa mtu lakini???tena wa mzee mzima Asprin walau ungekuja chobingo unchombeze sasa wewe umeingia mzima mzima wangu!!usiniharibie ndoa yangu jamani ni tamu sanaaaaaaaaaaaa ntapata wapi wa kunidekeza mwingine YUMMY mie

jamani Yummy ndio ujue kuwa nina mapenzi ya kweli kwako sio mzugaji kama babu! Nimeamua kuweka mambo hadharani kila mtu ajue kuwa nimekudondokea!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa KARIA weeee KWANZA, utaniweza mie kweli????? Hebu mchombeze Asprin akuelezee mambo yangu ndo utajua kama utanimudu.
PILI, unajisikiaje kutongoza mke wa mtu lakini???tena wa mzee mzima Asprin walau ungekuja chobingo unchombeze sasa wewe umeingia mzima mzima wangu!!usiniharibie ndoa yangu jamani ni tamu sanaaaaaaaaaaaa ntapata wapi wa kunidekeza mwingine YUMMY mie

Mwambie na akija PM nna pasiwedi yako. Nikamkamataaa!
 
Last edited by a moderator:
Jamani kipendacho roho dawa! Nifanyeje na ndio nishapenda! Babu Asprin kama kuniroga niroge. kama kunichinja nichinje, kama adhabu nipe, ila mimi nasema jamani lohh Yummy kaniteka mtima wangu!!!

Heeee we utaanza kunifanya nikuonee huruma sasa khaaa!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom