Yule mwanamuziki bora wa muda wote "CHRIS BROWN" ameachia album kali funga mwaka

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,008
12,267
Ni yule mwanamuziki bora wa muda wote toka pande za states mwamba Christopher Maurice Brown maarufu kama Chris Brown au Breezy.

Amewashushia neema mashabiki zake kwa kuwa patia album funga mwaka kama alivyo ahidi mwenyewe kuwa mwezi wa 11.2023 ataachia na bila kusita mtaalamu Breezy kawapa burudani mashabiki zake.

Ndani ya ablum hiyo iitwayo 11:11 imeshirikisha mastaa kadhaa kama Future kutoka US na mkali Davido kutoka Naija na wengine wengi.

Album hii ina mikwaju takribani 22, itashushwa moja baada ya mwengine hapa hapa stay stuned.
ab67616d00001e02649d02a68c64fd203c183e54.jpg

Hakika Breezy ni G.O.A.T wa mziki
 
Mimi kama shabiki yake ni habari njema, nimekuwa nikimsikiliza.
Team Breezy for life, ngoja nikaisikilize.

Nimeisikiliza sana under influence kwenye Indigo nimechoka nataka vitu vipya.
Indigo🙌

Mule kuna mawe mengi ile heat, overtime, trouble waters, come together, indigo, under the influence, problem with you, undecided, you like that, lurkin, No Guidance aisee hayo mawe naya kubali hatari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom