Yule daktari akaniharibia kwa wife…..!

huyo daktari na yeye amekosea.hiyo ni siri yake na mgonjwa.hajawa professional na kazi yake.hayo mengine kuhusu mume na mke,ni juu yao wenyewe
 
Jamani hii kitu ni ya kitambo sana, msije mkadhani ni ya hivi karibuni.....LOL

Alikuwa hajui kwamba yeye akinuna wenzie wala? Unajua miaka ileeeeee ya nyuma mtu akikwaa 'gono' ndioa anaonekana amepitia initiation na kuwa rijali kamili. Shule za sekondari kijana akipata 'gono' anatangaza kwa njia ya kula capsules za tetracyline ili aulizwe ''vipi umeukwaa?''. Maana sasa hapo ndio anaonekana yeye ndio yeye, kidume cha mbegu.Duh!
 
Bora umekiri ni wewe. Ungesema ni jirani yako kimoyo moyo ningejua tu ni wewe. Lol.

Kweli mwenye macho na asome hilo ni funzo. Ni bora mtu anayebwatuka ugomvi unaisha ndani ya masaa kuliko kununa...nuna nuna mbaya kweli...tatizo mnunaji anaweza asione kama yeye ni chanzo; na yeye anaona wewe pia umenuna. Lol. Kwa ufupi mnanuniana.

Funzo niloona hapa mkipeana short divorce kama hizo kupima ni muhimu..tatizo litakuja kama ni tabia ya kujirudia rudia. Kama mnawapenda wake zenu muwege mnapima afya pale mnapoamua ku solve difference zenu...kama mnawapenda mtawalinda; huko nje ni noma...kwa hisani ya watu wa marekani.
 
Na wapo wanandoa ni kama 'maadui' sijui unashauri nini hapo? lol
 
Hivi ni nani aliyekuambia kwamba mkasa huu ulinipata mimi...!
Mie ni msimuliaji tu na wala sihusiki kabisaaaa, unikome mtoto wa mwenzio
 
Pole kwa yaliyokukukta kwa kujitakia. Kwanza unaonyesha ni kwa jinsi gani ulivyo kuwa na tabia ya kufanya Ngono zembe. Baba hapo nenda kacheki SeroStatus ( HIV testing). Pili nahuyo daktari uchwara umbea umemzidi. Yeye alitakiwa kumaliza kazi yake kwako ya tiba na kukaa kimya. Jamani si kila mnaye kutana naye kwenye dispensary za huko mitaani ni madaktari.
Daktari ni mtu mwenye alimu ya tiba kuanzia ngazi ya shahada (degree in medical sciences: MD,DDS) na kuendelea. Chini ya hapo hao siyo madaktari. Kwahiyo kuweni waangalifu.
 
Ukiwa muhongo either uwe na kumbukumbu nzuri au uwe na ka note book.Lol.

Rafiki yangu mmoja alinambia simu yake imedumbukia kwenye maji, kwa e mail (otherwise nisingemuelewa kutokana na situation)...kesho yake kapata emergency kanitwangia. Nkasema labda amesha replace. Nakutana nae baada ya kama two days simu ile ile. Kimoyo moyo nkajisemea njia ya muhongo fupi. Wala sikumuuliza, nae keshasau alichonambia. Lol.

Mi najua mama Ngina anafanya kazi gani...ndio maana niliposoma hata kabla sijafika mwisho nikajua muhusika ni wewe. Ulipokiri kuwa ni wewe nkasema...Mtambuzi ameamua kufunguka. Lol.

Ila usirudie....hiyo kama ni trafic light ilikuwa ni orange...ulikuwa unaelekea kwenye red au green; Mungu kakunusuru kukupa green; a second chance.

Hivi ni nani aliyekuambia kwamba mkasa huu ulinipata mimi...!
Mie ni msimuliaji tu na wala sihusiki kabisaaaa, unikome mtoto wa mwenzio
 
Umbea ni nature ya mtu haijalishi huyo doctor ni bingwa au doctor uchwara.

Kuna doctor mi namjua bingwa wa kina mama na anakaribia kustaafu ni mbeya hajabu.

Kila anayemjua anasema mi kwa doctor x siendi labda nipelekwa sina fahamu...maana yuko busy kusimulia fulani anaumwa nini...sasa kwa mwenye akili huwezi kwenda kwake hata kama anatibu bure.

Pole kwa yaliyokukukta kwa kujitakia. Kwanza unaonyesha ni kwa jinsi gani ulivyo kuwa na tabia ya kufanya Ngono zembe. Baba hapo nenda kacheki SeroStatus ( HIV testing). Pili nahuyo daktari uchwara umbea umemzidi. Yeye alitakiwa kumaliza kazi yake kwako ya tiba na kukaa kimya. Jamani si kila mnaye kutana naye kwenye dispensary za huko mitaani ni madaktari.
Daktari ni mtu mwenye alimu ya tiba kuanzia ngazi ya shahada (degree in medical sciences: MD,DDS) na kuendelea. Chini ya hapo hao siyo madaktari. Kwahiyo kuweni waangalifu.
 
Boss sielewi itakuwaje wanandoa wawe 'kama maadui'

Na kama wapo basi hao wako safe maana sidhani kama wanashiriki tendo iwapo wako kama maadui. Kila mtu atajiju akiukwaa huko anako tanga tanga.

Na wapo wanandoa ni kama 'maadui' sijui unashauri nini hapo? lol
 
Boss sielewi itakuwaje wanandoa wawe 'kama maadui'

Na kama wapo basi hao wako safe maana sidhani kama wanashiriki tendo iwapo wako kama maadui. Kila mtu atajiju akiukwaa huko anako tanga tanga.

kuwa uone aisee..
kuna ndoa hadi unajiuliza 'walikutana wapi'?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom