Yule anayethubutu kusema Lowassa Fisadi

Freeman mwenyewe anapaswa kutumbuliwa, ni tatizo ambalo nyinyi hamuwezi kuliona.
yes.. huyu nae ni jipu la kutumbua. sema tangu amuuzie mzee wa monduli kampuni yake ya cdm ltd nyumbu ndio wamejaa cdm original hawana lao. akae chonjo akiingia 18 za jpm atatumbuliwa lazima.
 
Kama kunawatu wanajitoa ufaham mkuu ni cdm, wwamesahau kuwa walimuarika fisadi edo ili awe rais, halafu wakasahau kuwa walitumia miaka zaid 7, kutuambia ni fisadi, na ushahidi upo, halafu wakatumia nusu saa yaan dk30, kutuambia edo si fisadi, asee itz only in tz,

Niwakumbushe hyo edo amekuja kukiua chama na amewang,ang,ania kweli, mpaka ofc imehamia mikocheni, ile ajenda ya kupinga ufisadi ilikuf ghafura, sasa kama kwa dk 30 mlibadili mawazo, je mgepewa nchi, si mngebadili katiba muongoze milele? Hayo makosa hayawezi kufanyika tz,

Edo ni fisadi na hakuna njia nyingine ya kumsafisha...
Ndoto za mchana mlimpeleka mahakamani?
 
Waliompokea kwa dhati kutoka moyoni ndio waliotumia nguvu nyingi katika kumuita fisadi, sasa ujumbe wa thread yako uanze kuwahoji hao hao ambao walimtusi na leo kumkumbatia kwao ni kitu rahisi kabisa. Video zinazowaonyesha hao waliomtusi zipo hapa JF na mara nyingi tu waungwana wanazioweka kwenye maandiko yao kwa nia ya kutilia mkazo hoja wanazojenga.

Waliothubutu kumuita Lowassa fisadi ni wengi sana, usiwaangalie tu wale ambao hawajaamua kushughulika naye kwa sasa. watazame na wale ambao waliingia katika mkumbo wa kumsimanga lakini fedha ndefu imezipofusha akili na fikra zao na wameamua kubadili kabisa kauli, wamegeuka watetezi maarufu wa yule yule waliyemjengea hoja mbaya kwa Watanzania.
Best comments
 
Ukitaka Lowassa ahukumiwe kuwa fisadi serikali inaweza kulazimisha kumshitaki,hivyo basi ni vema utulie ukijua hakika Lowassa sio fisadi madhali hajahukimiwa na chombo chochote chenye mamlaka hata sasa.Na ccm watafute hoja nyingine kwenye uchaguzi wa mbeleni maana hoja ya ufisadi wa mtu huyu haitakuwa na mashiko ikiwa hawatathibitisha hayo maana walituaminisha kuwa kuna mafisadi papa mengine yapo nje na wakipata rudhaa watayafunga yote yawe ndani,labda tuvute subira muda bado.
 
Ukitaka Lowassa ahukumiwe kuwa fisadi serikali inaweza kulazimisha kumshitaki,hivyo basi ni vema utulie ukijua hakika Lowassa sio fisadi madhali hajahukimiwa na chombo chochote chenye mamlaka hata sasa.Na ccm watafute hoja nyingine kwenye uchaguzi wa mbeleni maana hoja ya ufisadi wa mtu huyu haitakuwa na mashiko ikiwa hawatathibitisha hayo maana walituaminisha kuwa kuna mafisadi papa mengine yapo nje na wakipata rudhaa watayafunga yote yawe ndani,labda tuvute subira muda bado.
Hakuna kuvuta subira kwenye serekali hii ya Mazingaombwe
 
Dah.... Siamini kama maneno haya yanatoka mdomoni mwa mtanzania
Kinachoonekana hapo kwa mawazo mepesi tu ni kwamba hata wewe mwenyewe huna uhakika kama ni fisadi au si fisadi...kwa hiyo unasubiri akitumbuliwa basi kwako atakuwa fisadi na ambavyo hajatumbuliwa kwako si fisadi.......JENGA HOJA YA KUTETEA USAFI WAKE!!
 
Mihimili kweli ni mitatu,ila ni kama ifuatavyo;
1.Serikali:kiongozi mkuu ni Rais
2.Mahakama:kiongozi mkuu ni Jaji mkuu
3.Bunge:kiongozi mkuu ni Spika wa bunge.
Huo mhimili wako wa kwanza kidogo umenipa utata.
kuna mihimili mitatu ya dola (serikali )ambayo inaundwa na
a)rais
b)bunge
c)mahakama
hujaelewa wapi ?....hakuna muhimili unaoitwa serikali
 
Kinachoonekana hapo kwa mawazo mepesi tu ni kwamba hata wewe mwenyewe huna uhakika kama ni fisadi au si fisadi...kwa hiyo unasubiri akitumbuliwa basi kwako atakuwa fisadi na ambavyo hajatumbuliwa kwako si fisadi.......JENGA HOJA YA KUTETEA USAFI WAKE!!
Asante sana
 
kuna mihimili mitatu ya dola (serikali )ambayo inaundwa na
a)rais
b)bunge
c)mahakama
hujaelewa wapi ?....hakuna muhimili unaoitwa serikali
kama unataka Rais atajwe kama mhimili basi mihimili iliyobaki iwe ni jaji mkuu,na spika wa bunge.SERIKALI,BUNGE NA MAHAKAMA NDIO MIHIMILI MIKUU MITATU,na viongozi wake wakuu ni Rais,Spika wa bunge na Jaji mkuu.

Ulichokiandika hapo juu unamaanisha kwamba serikali inaundwa na Rais,Bunge na mahakama,mkuu bunge sio serikali tena moja ya kazi za bunge ni kuisimamia serikali,na pia mahakama sio serikali,yenyewe inasimamia utekelezaji wa sheria(sheria zinatungwa na bunge),serikali ni chombo cha utendaji(executive).
 
hata rostam azizi anashutuma za ufisadi. usopiteze afya yako na muda badala yake ngojea tu hao mabwana zako wakiingia 18 za jpm magufuli one usaa kama itafika kilo moja su vipi.
Ataingiaje kwenye 18 wakati anaangalia akiwa jukwaani?
 
Good. Kwa hiyo Lowasa kuitwa fisadi papa ni propaganda za kisiasa tu. Nchi ya ajabu sana hii.
Japo watu ni hao hao, wanasema kama wanasiasa na si viongozi wa serikali. Wangetumia nafasi za Serikali, yangekuwa mengine.
 
Lo
Mkuu bila LOWASA raisi angekuwa MEMBE kamwe MAGUFULULI hawezi mgusa mzee Jk nae ana jua bila Lowasa raisi angekuwa Salmini Lowasa jembe bwana.Akiwa ndani ya ccm alipendwa alipo hama ikawa mahaba nje ya ccm
?
Lowasa ni fisadi huo ndiyo msimamo wa watanzania.
 
Wale ambao walipewa kazi ya kumtetea wakati wa kampeni, walifanya kazi ya bure kabisa ya kumkashifu kabla hajapigwa chini CCM, waswahili wanasema mchawi mpe mwana amlee, ndicho alichokifanya Lowassa. Aliamua kwenda kujiunga na CHADEMA, chama ambacho kilitumia nguvu kubwa katika kumchafua kabla hajaamua kujiunga nacho. Naona unajaribu kuikwepa pointi yangu ambayo umei quate, tena kwa makusudi kabisa, Lowassa ni mmoja wa watuhumiwa wa mwembe yanga, sasa waliomtaja kama ni fisadi kule mwembe yanga ni wana CCM?. Kwanini hao hao ambao waliiambia public kwamba Lowassa ni mmoja wa watuhumiwa, wameshindwa kumsafisha kwa kutumia njia ile ile waliyotumia kumchafua?. Theatre ndogo inaanzia CHADEMA, kabla ya uongozi wa juu wa serikali haujaanza kutafuta mikasi na pamba ziko wapi.
nakuunga mkono na miguu yote. well said !
 
mkitaka kujua Lowasa ni fisadi muulizeni Tundu lissu, Dr Slaa, Dr Mwakyembe ,Mbowe, Kubenea, Lema, yaani ni aibu. lakini ingekuwa bora wakaja tena kwa wananchi nchi nzima wakamsafisha ili imani waliyoijenga kwa wananchi ifutike.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom