Ndugu wana JF Imenibidi niulize, maana huyu Mzee ni kama yuko uhamishoni vile, maana tangu Magamba wamvue kipande kimoja cha gamba( ukatibu ) mpaka leo ni kimya kabisa, Yuko wapi huyu Mzee? Aliye na taarifa atupie hapa,
Yupo madale (karibu na kiwanda cha twiga cement), anafuga kuku na ng'ombe. Ila akili yake imechoka sana, afu ile dhambi ya kipindi kileee ya kumpa mwanafunzi mimba, inamtafuna ile mbaya.
Nidhamu iwekwe mbele kwa wazee; wewe kijana adabu yako ndogo. Mzee makamba hastahili kuambiwa hivyo