Yuko wapi "Yusuph Makamba"

buhange

JF-Expert Member
Oct 23, 2011
505
110
Ndugu wana JF Imenibidi niulize, maana huyu Mzee ni kama yuko uhamishoni vile, maana tangu Magamba wamvue kipande kimoja cha gamba( ukatibu ) mpaka leo ni kimya kabisa, Yuko wapi huyu Mzee? Aliye na taarifa atupie hapa,
 
Hakuna Katibu Mkuu wa CCM aliyewahi kuwepo chini ya jua, ambaye ametokea kuwa Kiazi kama huyu baba! Hali waliyonayo Magamba ya Kufakufa, ukiangalia yeye ana mchango mkubwa sana kukifikisha chama hapa kilipo kwa sasa na hawezi kulikana hilo.
 
Yupo madale (karibu na kiwanda cha twiga cement), anafuga kuku na ng'ombe. Ila akili yake imechoka sana, afu ile dhambi ya kipindi kileee ya kumpa mwanafunzi mimba, inamtafuna ile mbaya.
 
Yupo madale (karibu na kiwanda cha twiga cement), anafuga kuku na ng'ombe. Ila akili yake imechoka sana, afu ile dhambi ya kipindi kileee ya kumpa mwanafunzi mimba, inamtafuna ile mbaya.

Nidhamu iwekwe mbele kwa wazee; wewe kijana adabu yako ndogo. Mzee makamba hastahili kuambiwa hivyo
 
Nidhamu iwekwe mbele kwa wazee; wewe kijana adabu yako ndogo. Mzee makamba hastahili kuambiwa hivyo

kwani hakumpa mwanafunzi mimba?
Kwani akai madale?
Kwani afugi kuku na ng'ombe?
Kusema ukweli napo kunaitaji nidhamu?
 
Una ushahidi kuwa mimba ilukuwa yake?? Mbona hausemi Dr. Slaa kumpa mimba mke wa mtu mwingine, Josephine
 
Ni kweli MD25, Kusema kweli kimsingi hakuhitaji nidhamu, maana ule ukweli wenyewe tayari ni nidhamu tosha, MAFILI acha jamaa atoe ajuacho coz we are here to talk openly, though protocal must be kept into account, Siwezi kushangaa kwa makamba kuwa ktk hali kama hiyo, MAGAMBA goes in ratio with the beat of a drum, MAKAMBA is no longer.......
 
Nidhamu iwekwe mbele kwa wazee; wewe kijana adabu yako ndogo. Mzee makamba hastahili kuambiwa hivyo

bata akinya kaharisha.kuku ndo sawa.ewe gamba dogo.mzee huyo analiliwa na mtoto wake.aliyezaa na mwanafunzi.kiujumla amezeeka vibaya.huku akiwa muhanga wa magamba ya mwanzo yaliyovuliwa.
 
yupo madale na anatumia bado v8 jeupe kama la nape!sijui kauziwa au ndio kubebana ktk mali za chama na govt
 
Takataka hizo za kazi gani?Kiukweli sitaki hata kusikia jina lake!
Ndugu wana JF Imenibidi niulize, maana huyu Mzee ni kama yuko uhamishoni vile, maana tangu Magamba wamvue kipande kimoja cha gamba( ukatibu ) mpaka leo ni kimya kabisa, Yuko wapi huyu Mzee? Aliye na taarifa atupie hapa,
 
Nidhamu iwekwe mbele kwa wazee; wewe kijana adabu yako ndogo. Mzee makamba hastahili kuambiwa hivyo

kama yeye mwenyewe mzee makamba alishindwa kujitambua waache watu wamuite kwa jina lolote maana utu na busara ya mtu uanzia kwake yeye mwenyewe kujitambua na wala sio kwa wengine.
 
'Ameenda kuwaandalia makao"!kama alivyo ahidi siku anaondoka,lkn unaweza pia muuliza January au yule dada anayefanyia vodacom kama unamuhitaji kwa masuala yako binafsi.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom