Yuko wapi mzee Kitilya wa TRA?

Mmekwisha ambiwa siku za mwizi ni AROBAINI! Arobaini zao zikifika lazima wabambwe; ilikuwa hivyo kwa Harry Kitilya na bahati yake mwenzie Dr. Mboya alitangulia mbele ya haki mapema!! Mtamlaumu Jiwe ukweli ni kwamba alikuwa na taarifa nyingi za hawa wezi wa mali za umma kabla ya kuwasweka lupango!
 
Nauliza tu Ndugu zangu huyu mwamba wa ukusanyaji kodi nchini yuko wapi siku hizi?

Yuko wapi Masamaki wa Customs?

Halafu kuna vijana hawana la kujifunza hapo TRA!

Heri Wapatanishi kwa maana wataitwa Wana wa Mungu
Wewe humwamini Yesu wa kwenye biblia? watoza ushuru na makahaba lao moja, hutangulia mapema. kamsome mathayo:

Basi Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom