Yuko Wapi Sakina Dattoo?

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Nimem-miss sana.

Ni nadra sana kuona Mtanzania mwenye asili ya Asia akikemea ufisadi katika taifa hili la Tanzania linalonuka uozo wa rushwa kila kona.

Yuko wapi?
 
Huyu mwanahabari yuko Uingereza anajiendeleza kielimu.Tunamuombea ahitimu masomo yake ili arudi kuiendeleza taaluma yake ktk kutatua changamoto zinazotukabili hivi sasa.Hakika amejaliwa kipawa cha kujieleza vizuri na kukubalika miongoni mwa jamii.
 
Nimem-miss sana.

Ni nadra sana kuona Mtanzania mwenye asili ya Asia akikemea ufisadi katika taifa hili la Tanzania linalonuka uozo wa rushwa kila kona.

Yuko wapi?

i also mic ha on media, mwenye habari atujuze.
 
Back
Top Bottom