CHADEMA tambueni Makonda kupita mle alipopita Magufuli ni kwa sababu Watanzania wanahitaji matokeo chanya

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Watanzania wanahitaji kuona reli ya Sgr kutoka Dar mpaka Mwanza inafanya kazi hii ni kwa sababu ughali wa maisha utapungua sababu mizigo na abiria watasafiri kwa bei rahisi.

Bwawa la JHNP linazalisha umeme na umeme haukatiki hovyo. Bei ya umme ishuke na umeme usiwe anasa.

Raia wanyonge wasidhulumiwe mali zao. Hili lipo wazi.

Rushwa na ufisadi udhibitiwe ili mali ya umma ilete maendeleo kwa kila mtanzania. Ndio maana leo hii mnaenda kwenu Moshi huku mkipita juu ya daraja la Wami la kisasa.

Nyankurungu 2020.
0742 425245. Kintiku Manyoni
 
Tanzania haijawahi kutawaliwa/kuongozwa na CHADEMA
Matatizo ya Tanzania hayatokani na chadema, yanatokana na ccm yenyewe. ujinga wako ni pale unapoamini kwamba ukiitaja chadema tu unasolve matatizo ya watanzania.
huyo makonda anatokea chama kilekile kilichosababisha matatizo huyo ni mwana ccm
PUNGUZENI UJINGA NA USHAMBA WA KISUKUMA
PUMBAVU
 
Yani shida sio mitazamo ya makondo shida ni kwamba hana mamlaka ya kutekeleza anayoyasema hivyo unakua ni ulaghai mtupu.
 
Watanzania wanahitaji kuona reli ya Sgr kutoka Dar mpaka Mwanza inafanya kazi hii ni kwa sababu ughali wa maisha utapungua sababu mizigo na abiria watasafiri kwa bei rahisi.

Bwawa la JHNP linazalisha umeme na umeme haukatiki hovyo. Bei ya umme ishuke na umeme usiwe anasa.

Raia wanyonge wasidhulumiwe mali zao. Hili lipo wazi.

Rushwa na ufisadi udhibitiwe ili mali ya umma ilete maendeleo kwa kila mtanzania. Ndio maana leo hii mnaenda kwenu Moshi huku mkipita juu ya daraja la Wami la kisasa.

Nyankurungu 2020.
0742 425245. Kintiku Manyoni
Mwizi ni mwizi tu
 
Tanzania haijawahi kutawaliwa/kuongozwa na CHADEMA
Matatizo ya Tanzania hayatokani na chadema, yanatokana na ccm yenyewe. ujinga wako ni pale unapoamini kwamba ukiitaja chadema tu unasolve matatizo ya watanzania.
huyo makonda anatokea chama kilekile kilichosababisha matatizo huyo ni mwana ccm
PUNGUZENI UJINGA NA USHAMBA WA KISUKUMA
PUMBAVU
Hongera sana kwa kumpa makavu hiyo Mhutu
 
Naomba kuelimishwa hapa. Kwanini ndani ya katiba yetu kuna kifungu kikitaka kutekelezwa inakuwa jinai? Uhuru wa mikutano ya hadhara na maandamano ya Amani yameanishwa vizuri katika Katiba ya Jamhuri ya muumgano wa Tanzania na kutungiwa sheria. Inakuwajje utekelezaji wake kuonwa km ugaidi na jinai? Bila Shaka kuna watu wabaya hapo Kati. Je, wabaya ni wale wanaoona utekelezaji wa kifungu hicho ni jinai au wanaotaka kuteleza hicho kifungu? Hivi, kwanini hicho kifungu kisiondolewe kabisa katika Katiba na sheria zake kufutwa kuliko kukiacha ili wawaite wanaotaka kukitumia kuwa wahalifu hadi kusumbua jeshi letu lenye weledi kuingia mitaani kufanya usafi jukumu ambalo si lao.
Ni akili gani hii? Ni ukongwe wa genge la watawala au ni kuchoka kufikiri? Mbona vifungu vingine kwenye katiba vinatumika tu vizuri, kwanini maandamano tu?
 
Back
Top Bottom