mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,056
- 4,827
JelaNgome ndo wapi mkuu
JelaNgome ndo wapi mkuu
Ngome ndo wapi mkuu
Unajifanya kuuliza hiv halaf huondoki hapa unabana pembeni kufuatilia unachokiita umbeyaSorry!! Uko n jinsia Gani?
Ni brain washed mindset zenu tu ndio zinawa tag watu na location kwa kigezo cha ukwas waoTajiri anaishi Koma koma? Acheni utani bhana.
KWan nyie wenzetu mnavaa nini?Mjanja mzima unavaa midosho
Ova
Nitajie tajiri unayemjua anayeishi Mwanayamala koma koma. Labda kama huijui hiyo koma koma.Ni brain washed mindset zenu tu ndio zinawa tag watu na location kwa kigezo cha ukwas wao
Ofcz ni kwel siijui hiyo mitaa huko ndan napita tu huku main roadNitajie tajiri unayemjua anayeishi Mwanayamala koma koma. Labda kama huijui hiyo koma koma.
Nakuuliza ametoka jelaUna akili za kitoto sana hata uwe na umri gani ila utoto umekujaa, hujielewi.
siku hizi hata me ni ke, dau lako tu,Sorry!! Uko n jinsia Gani?
Joe's up wear,yule na mudy Mars ndy walikuwa wanaleta nguo og toka usa na UKKuna Joe Fashion pale Kino tx market.
Yule mwamba mizigo yote Og ndio alianza kuleta.
Sijui alikumbwa na nini, alipotea ghafla tu
Yuko vzr aliwekeza sana kwenye nyumbaOK.
Ni muda sijamsikia.
Kuvaa ilikuwa zamaniKWan nyie wenzetu mnavaa nini?
Hapa tuko pamoja. Simple tu inatosha.Kuvaa ilikuwa zamani
Siku hz ni kuvaa casual wear tu
Ova
ze onile waniKuna hatihati pia Sandaland akaishia kubaya... na hivi hasaidii ndugu zake 😥... aombe mungu 😂🙌🏾
FILAJoe's up wear,yule na mudy Mars ndy walikuwa wanaleta nguo og toka usa na UK
Wakati ule unavaa Damien dada,fubu, timber og
Yupo mtu wangu sana sema kawa mtu mzima naona kawa sheh fulani bakwata bakwata sana
Sasa humu anakuja mtoto mdg sinza pazuri anataka kubishana na kaka zake
Ova