Yuko wapi mfanyabiashara na tajiri Hussen Pambakali?

Kuna Joe Fashion pale Kino tx market.
Yule mwamba mizigo yote Og ndio alianza kuleta.
Sijui alikumbwa na nini, alipotea ghafla tu
Joe's up wear,yule na mudy Mars ndy walikuwa wanaleta nguo og toka usa na UK
Wakati ule unavaa Damien dada,fubu, timber og
Yupo mtu wangu sana sema kawa mtu mzima naona kawa sheh fulani bakwata bakwata sana
Sasa humu anakuja mtoto mdg sinza pazuri anataka kubishana na kaka zake

Ova
 
FILA
 
Back
Top Bottom