Yuko wapi Hussein Tuwa?

stars

JF-Expert Member
Sep 10, 2020
819
1,111
Wakuu,

Huyu mwamba nguli wa riwaya, Husein Tuwa, bado anaendelea kuandika riwaya zake?

Huyu mwamba riwaya zake zimeenda shule! Nakumbuka riwaya za Mkimbizi (ambayo baadae aliandika kitabu), riwaya ya Mdunguaji, na nyinginezo.

Je, aliacha uandishi wa riwaya? Tumezimisi sana riwaya zake!
 
yupo wana project inaitwa mjue mtunzi.. ingia instagram na facebook yupo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom