Yu wapi Tido Mhando?

Kivumah

JF-Expert Member
Jan 7, 2008
2,428
1,050
Wanajamvi anaefahamu aweke wazi hapa, Tido yupo wapi sasa baada ya kutemeshwa mzigo TBC. zipo tetesi anataka kurudi BBC, kweli???
 
Attachments

  • tido mhando.jpg
    tido mhando.jpg
    7.6 KB · Views: 320
Hata Hivyo ana makazi ya kudumu UK What do you expect? hakuja TBC kwa ajili ya kuganga njaa. Alikuja kufanya kazi na tumeiona. Hivyo ruksa kurudi ila arudi 2015 kama ana nia ya kuingia mjengoni
 
Shame upon JK na Makamba wake... Wana-mfrustrate Mzee wa watu...mchapakazi,....
 
Naona tuu arudi tuu BBC maana tokea andoke bbc imechoka. hakuna kitu
 
Yaliyomkuta Tido ni mwanzo wa wataalam wa nchi hii kukataa kurudi tena Tanzania kufanya kazi maana huku bado watu wako ki-ccm ccm na sio kwa maslahi ya taifa
 
thanks man.....ndio maana nataka kukimbia nchi.....watz mlioko uko msirudi....
 
Maswali yako kwa jk mwaka jana yalikuwa ya kujikomba mno tido, kiko wapi sasa?
 
Tido went back to the UK but he was expecting to have some rest and thereafter decide what to do. he wasn't expect to be formally employed but he didn't rule out. anything is possible. he has laid the foundation and done a very good structural work within the public tanzania media hous. he has formed the corporation and made TBC1 and TBC the same thing which is likable again within and outside tanzania. he stands to the agreements and that what has made his contract not to be extended for another six months while he was trying to finish the foundation work he has started. all parties agreed to the live debate with wananchi during elections but when ccm was outperformed at Vunjo and Ubungo, ccm stopped its candidates from participating. they requested Tido to stop the debate but he refused on a basis that they had earlier with all parties including ccm and pull out by ccm should not deny other people opportunitie! this formed gradges with the ruling party and it is associated with non-extension of his contract which earlier gently agreed.
 
CCM wanataka kumuingiza kila mtaalamu kwenye dili za ufisadi, kikinuka unaachwa kwenye mataa au unazushiwa kifo au kuuwawa kabisa. The same applied to Daudi Balal, aliacha kazi zake WB na IMF na kuja kufanya BOT kama gavana, dili za ufisadi kubaunsi sasa hivi Balal anaishi kama marehemu though yupo hai. Wataalamu msikubali kutumiwa na CCM.Pole Tido u will win again.
 
Yaliyomkuta Tido ni mwanzo wa wataalam wa nchi hii kukataa kurudi tena Tanzania kufanya kazi maana huku bado watu wako ki-ccm ccm na sio kwa maslahi ya taifa

Mkuu umenena hapo. Huku tunaishi kwa ujanja ujanja na wizi wizi, na tunachukia wataalamu wanapotofautiana na wishes zetu. Natamani TUNISIA ihamie hapa, tuwachape JK na wezi wenzake hadi wakimbilie Costa Rica.:plane:
 
Hapo ndio ilipo duwanzi letu?
 
Tido went back to the UK but he was expecting to have some rest and thereafter decide what to do. he wasn't expect to be formally employed but he didn't rule out. anything is possible. he has laid the foundation and done a very good structural work within the public tanzania media hous. he has formed the corporation and made TBC1 and TBC the same thing which is likable again within and outside tanzania. he stands to the agreements and that what has made his contract not to be extended for another six months while he was trying to finish the foundation work he has started. all parties agreed to the live debate with wananchi during elections but when ccm was outperformed at Vunjo and Ubungo, ccm stopped its candidates from participating. they requested Tido to stop the debate but he refused on a basis that they had earlier with all parties including ccm and pull out by ccm should not deny other people opportunitie! this formed gradges with the ruling party and it is associated with non-extension of his contract which earlier gently agreed.
Nadhani wanasiasa wetu wangeweka wazi kuwa viongozi wa mashirika ya umma wanatakiwa kuwa wamebobea kwenye siasa na propaganda (e.g. Tambwe hiza akae pale BOT, makamba TBC etc ) badala ya wataalam maana hii itawasaidia kupunguza migongano kati ya watawala wa sisiem na uongozi wa mashirika kama inavyojionesha kwa TBC ( wote watakuwa kwenye frequency moja), vinginevyo hii objective inapokuwa imejificha itaendelea ku frustrate wataalam wetu
 
You said it all! Big UP.
 
Jenerali Ulimwengu aliyagundua madudu haya ya CCM miaka mingi sana na uamuzi wake ulikuwa kuachana kabisa na siasa. Leo hii anaheshimika si tu kwa mafanikio zaidi kwa msimamo wake juu ya maswala ya taifa hili. Mbona Wazalendo wa aina hii wako wachache sana? Walioteuliwa na JK wote hili linaweza kuwakuta wakati wowote, hawako salama hata kidogo.
 
Naomba Mungu Tido aje apate muda wa kumhoji maswali muungwana sijui atakuja kumhoji kitoto kama alivyofanya kwenye yale mahojiano live hadi Jonson Mbwambo na wadau wengine tukashutukia dili kuwa Tido anauliza kinazi,na akaja jifaragua kwenye gazeti la Raia Mwema kwa kutoa stori za hamnazo,na akawa ameshasahau alikotoka,jamani TZ ina wenyewe,ukiwauzi tu hata uwalambe nyayo utatupiwa virago mchana kweupe,na hilo liwe funzo kwa wengine wanaosahau walikotoka
 
Back
Top Bottom