Yu wapi Tido Mhando?

Tido alitangulia kwenda kumtayalishia makazi mgosi Yusuf Makamba!! Makamba alimchomea ubani Tido kwa sababu ya ile midahalo ambayo ccm walikacha wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana lakini TBC waliendelea nayo hivyo mgosi Makamba akaona jamaa anawafagilia chadema ikabidi amchome lakini hapo hapo na yeye kaungua!! Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga.
 
aonekane ili iweje???hebu acha unafiki mwache akapumzike kwa mawazo yake ya kupigwa chini
 
nadhani ulizoe kumuona kwenye TV, sisi tupo naye kila siku, kama kawaida! Hata ukiuona mjini atakusaidia nini? Hebu tuchape kazi, hii haina tija
 
uwezo wetu bado mdogo sana wa kuwasiliana, its very dissapointing. Tido alirudi Uingereza ambako ndiko ilipo familia yake. Kipindi chote ambacho anafanyakazi hapa familia yake ilikua bado iko Uingereza
 
Blame it on CCM...Mzee Tido alikuwa fair coverage during election..nao jamaa hapo juu hawakupenda hiyo issue.
 
Baada ya kuondolewa vibaya pale TBC sijui nguli huyu wa fani ya utangazaji kaenda wapi? Maana hatumsikii kabisa na mjini haonekani. Au neye kisha hamia Radio Abood?
Aliondolewa au mkata ulikwisha!?
 
Tido siyo kafara la CCM, Wala huyu bwana siyo mjasiria mali wa Kibongo.Ni mwana taaluma anayeheshimika hata nje ya mipaka ya Tanzania.Siyo mtu wa kijiweni wala wa Mt.wa Livingstone yupo anajua anachokifanya kwa wakati yuko makini PERIOD
 
Bado yuko juu sana...Nlisikia BBC walimwuita ,sababu alikua mtendaji mzuri..serikali ya Tz ilimuiba
 
Na shabani Kisu bado mwajiriwa wa TBC au naye walimtema kwa sababu ya kipindi cha kutoka majimboni?
 
Baada ya kuondolewa vibaya pale TBC sijui nguli huyu wa fani ya utangazaji kaenda wapi? Maana hatumsikii kabisa na mjini haonekani. Au neye kisha hamia Radio Abood?

Na ukishamwona atakusaidia nini?
 
Tulitaka tu kujua bana mbona mnakuwa wakali jamani tume m-miss sana huyu mwanamapinduzi
 
Back
Top Bottom