Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,172
- 7,429
Jamani! ni nani anaeweza kufahamu ni wapi alipo naibu katibu wa CUF bara ndugu Julius Mtatiro? Kijana huyu aliepata kuchagiza sana katika siasa toka akiwa chuoni na baadae kujiunga na Chama cha CUF, ambapo haukupita muda mrefu alipata nafasi ya kuwa naibu katibu mkuu wa chama hicho bara.Katika kipindi cha nyuma amekuwa akisikika akijadili masuala mbalimbali ya kitaifa lakini kwa muda mrefu sasa sijamsikia kabisa.Hali hii hunisukuma kuuliza yu wapi Julius Mtatiro?
-Huyu ndugu yetu ha yopo humu JF!
-Bhandugu anayejua kwamba huyu mtu yuko wapi anijuze tafadhali.
-Huyu ndugu yetu ha yopo humu JF!
-Bhandugu anayejua kwamba huyu mtu yuko wapi anijuze tafadhali.