TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,898
- 11,292
mke wa mtu unamuulizia nini na wewe kama sio udaku huo??Jamani wana JF naomba kuuliza,yu wapi First Lady mama Salma Kikwete?.Siku hizi simsikii kabisa na hata jana kwenye maadhimisho ya miaka mia moja ya siku ya wanawake duniani sijamsikia.
Tatizo ni nini au ndoa imeingia mushkeri?Wenye taarifa zake naomba mtujulishe.
muache mama wa watu, hali mbaya mwaka huu