You wish You Weren't Married?

dear kuna wanaume vichwa maji, mie wangu nilizungumza nae weeee nikaona inaingia huku na kutokea kule,mwishowe nikaamua kumuacha free, nadhani alijichokea mwenyewe huko akaamua kutulia.

Itabidi tuwekwe kifungu cha 'grace period' katika sheria zetu kabla ndoa haijawa 'mariage absolute' hili watu wachunguzane vizuri. Maana hii kitu hipo sana siku hizi wapendanao uamua kuishi pamoja kuchunguzana. Hii Imekaaje?
 
i never regretted being married....i wish i had married my wife a long time ago, she is loving, thoughtful and naughty.

its just important not to loose the friendship after you get married.
 
Ndoa ni Raha tupu ila uongo mbaya kuna siku zingine hadi unajiuliza nini kimetokea so kuna karaha pia!
 
i never regretted being married....i wish i had married my wife a long time ago, she is loving, thoughtful and naughty.

its just important not to loose the friendship after you get married.

We mwendawazimu make sure you don't loose her is hard to meet the good ones and you know what's funny,most of the time the good ones fall into stubbon man I hope you are not one of them and pray for me guys.

SAHIBA.
 
dear kuna wanaume vichwa maji, mie wangu nilizungumza nae weeee nikaona inaingia huku na kutokea kule,mwishowe nikaamua kumuacha free, nadhani alijichokea mwenyewe huko akaamua kutulia.

Na hii midomo hii semasema ni moja ya kero kubwa za ndoa zetu maana dada zetu we ukisema neno moja yeye analifungulia wiki moja huna raha nyumbani kwako ungekuwa kwetu unampeleka kwa bibi yake akapumzike lakini huku ughaibuni babu unalo hilo limekuganda linakuning'inia shingoni hadi lihakikishe huna raha,hajui yeye akisema wanini wenziwe huko wanasema nitampata lini.

SAHIBA.
 
Ndoa ni Raha tupu ila uongo mbaya kuna siku zingine hadi unajiuliza nini kimetokea so kuna karaha pia!

Raha na karaha za Ndoa Ndio Furaha ya Ndoa....! Ndoa bila Karaha aina Raha... wala Furaha!

Kero...............3%

Maudhi............5%

Karaha............12%

Uvumilifu.........30%

Kusamehana.....50%

Furaha............100%

Kero kidogo... Maudhi Kidogo... Karaha kidogo... Uvumilifu na Kusamehe kwingi... Husababisha Furaha ndani ya Ndoa.

Inatokea mtu ajiulize hilo swali but mimi kama mimi I don't wish to go back... (yet, lol)
 
Raha na karaha za Ndoa Ndio Furaha ya Ndoa....! Ndoa bila Karaha aina Raha... wala Furaha!

Kero...............3%

Maudhi............5%

Karaha............12%

Uvumilifu.........30%

Kusamehana.....50%

Furaha............100%

Kero kidogo... Maudhi Kidogo... Karaha kidogo... Uvumilifu na Kusamehe kwingi... Husababisha Furaha ndani ya Ndoa.

Swadakta!
 
total imezidi 100%
 
sijajuta kuwa nae. Ingawa kutofautiana kupo, ndo challange zenyewe hizo, mnasolve maisha yanaendelea na upendo unazidi
 
Surely I do not regret why I ever married despite of ups of downs I prefer married life and have no regrets. No turning back.:tongue:
 
Mambo ya ndoa kama hutamtazama MUNGU na kujiendea unavyotaka lazma ugumu uwepo na hutaishi kwa raha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom