BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
Mchongoma,
Mnajisikiaje wanaume mnapoenda nyumba ndogo na kugeuzwa akili mpaka mnafanya vitu vya hovyo hovyo - mwanaume mtu mzima? Ndio mnadai mapenzi?
Ila twende mbele na kurudi nyuma, jamani kuna wakinababa wanakera na wakinamama hali kadhalika, nyumbani hakukaliki, unajitafutia vi trip vya hapa na pale na mtu akisafiri inakuwa eeuuh!
Naomba ufafanue vitu vya hovyo hovyo ni vipi?