You must read this!! Tafadhali soma hapa!!

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
Kampuni ya Young master Supplies & General Enterprises inayohusika na mambo ya IT iliyopo jijini Arusha inapenda kuwatangazia wananchi na wakazi wote wa jiji la Mwanza kuwa Mafundi na wataalamu wa IT kutoka katika kampuni hiyo watakuwepo katika jiji la Mwanza kuanzia tarehe 15 December wakitoa huduma zifuatazo:

· Computer hardware and software repair and maintenance
· Data recovery
· Local and network printer installation and configuration
· Virus and spyware removal
· Hardware and software upgrades
· Selling of all types of computer software and games
· Wired and wireless network setup (consist of network installation and configuration)

Kwa yeyote ambaye engependa kupata huduma hizi za IT kutoka katika kampuni hii iwe mtu binafsi au kampuni, tafadhali unaombwa kuwasiliana na kampuni yetu kabla ya tarehe 15 ili uweze kuweka order mapema ya kupatiwa huduma hiyo.

Wasiliana nasi kupitia anwani zifuatazo:
Mobile: +255789 884 221
E-mail: youngmasterent@gmail.com
 
Nipo Lupiro, Ifakara. Naweza saidika?

unaweza kusaidika popote ulipo kutegemea na tatizo ulilo nalo. Kwa maelezo zaidi unambwa kuwasiliana nasi kupitia anwani zetu ili tujue jinsi ya kukusaidia.
 
tuna watoto wakali kinoma kutoka veta'nyie mna qualification za aina gani?
 
kwa sasa tuna laptop aina ya e machine brand new with 1 year waranty direct shiped from u.s.a ambayo tunaiuza shilingi laki saba.

umeleta Mini Notebook laptop? na kama zipo kiasi gani unauza? aina gan i na specification zake ni zipi?
 
umeleta Mini Notebook laptop? na kama zipo kiasi gani unauza? aina gan i na specification zake ni zipi?

Mkuu Manyanza Kwa sasa mkuu tuna Tablet pc aina ya HP Touchpad na Acer ICONIA Tab. na bei zake ni sh. 760,000/- kwa maelezo zaidi pitia hapa kupata specifications za HP Touchpad na hapa kupata specifications za Acer ICONIA Tab
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom