Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,366
hahahahaa........asante mpendwa.wakuu ni kwamba hii sms nimetumiwa na mpendwa na nilipotaka kupata taarifa zaidi toka kwake kaniambia naye ameipata toka kwa mpendwa mwingine akimsisitiza aombe kwa ajili ya hyo hali, na nikaona kupata habari za uhakika ni bora niifikishe humu jamvini kwanza kabla sijachukua uamuzi wa kui-"foward" kwa wapendwa wengine ili hata wakiniuliza maswali kama haya mnayoniuliza wakuu niwe na cha kuwajibu.
Naamini humu jamvini kuna watu wanaotoka yombo na viunga vyake au wanaweza wakawa wamepata taarifa kwa undani zaidi kuliko tetesi nilizo nazo, naomba wenye taarifa za ukweli kuhusu tetesi hii watueleze
Mbarikiwe wapendwa.