Yombo KKKT hali si shwari

Ushabiki wa kidini hautakaa ulete tija kwa nchi yetu hata siku moja. Na katika hali ya kawaida kabisa nchi hii haitakaa iwe ya waislamu peke yake, wala wakristo peke yake. Hivyo ni lazima tujifunze kuheshimiana wenyewe kwa wenyewe na kuheshimu imani za wengine. Huwezi kumlazimisha mtu aamini unachoamini wewe na kadhalika hulazimiki kuaminishwa usichoamini. Ukilijua hili, mind your own business.
 
Tumefikia pabaya sana! Ilianza kidogo kidogo hivi hivi kote kulipotokea vita! Kikwete anakula urojo na halua oman, i hate kikwete, i hate ccm! Rais gani asiye na maamuzi, rais yupo yupo tu. Nadhani body yake pia inamfanya anakuwa dhaifu kwenye kufikiri, ukishamuona rais anapanda bembea na mkewe, jua kazi ipo! Aanze gym, afanye mazoezi ya kidume, labda atapata moyo wa kuamua kwa busara! Rais dhaifu katokana na mwili legelege!

yaan hapo mim napigamstar tu maana umemaliza majibu yote,yaan mia mia.
 
Positive thinking ''BRAVO"
kuweni makini na haya mambo ya ushabiki wa kidini.. dini zenyewe sio zetu .. inawezekana ni majambazi wanachukulia advantage hali tete iliyopo sasa... muda kama huu ni wa kufikiria kwa pande zote mbili za shilingi... yombo na mbagala ni mbali sana so sioni connection na matukio ya mbagala..

kama kumtoa ponda hasira zao wangemaliza kituo cha polisi ....

mi nadhani ni majambazi...!

dini hizi zisiwe sababu za kuvunjika kwa amani ... wao waliotuletea hizi dini wenyewe wanatushangaa
 
Waliosababisha vita kuu ya pili ni uchochezi wa wanahabari. Ni ukweli usiopingika kuwa hakuna aliyekamatwa. Ss kwann tuanze onyeshana vidole. Mi nimesikia ni mtoto wa kiislam kafanya iyo bt sina hakika. Imebainika kati ya watu 120 waliokamtwa vurugu za mbagala robo tatu walikuwa wakristo. Lkn kwasasa wameachiwa na wamebaki waislam 36. Kwann, au kuna siri gani hapo? Kwamba serikali ii ambayo imepoteza imani na haipendwi kabisa na wafuasi wa vyama vikuu vya upinzani na kundi la jamii ya waliowengi nchini leo ishawahukumu kuwa wake waktristo wakiokamatwa mbagala hawana makosa bali kosa nchi hii ni kuwa muislam!!!!!!!!????????., je tunapelekwa wapi. Watanzania tuungane. Ka
 
Back
Top Bottom