Yapii mawazo yako kwenye hii picha?

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
51,672
68,638
CDM TANZANIA.JPG

Hayo Maneno nimeyatoa kwenye Ms Word Ukiandika hayo maneno na Uka-change Font(Siikumbuki) ndio hizo alama zinatokea

Mine:
*Kwenye Sisiemu hakuna alama ya kile wanachokisimamia yani Jembe na Nyundo kama ilivyo kwa CDM peace Sign
*Tanzania na cmd zinaishia na Peace sign(Alama ya cdm) that means 2015 cdm itashika nchi
 
angali hizo symbol vizuri na kwa makini, neno Tanzania limebeba symbol nyingi za neno CHADEMA, na kwa hali hii inamaanisha kuwa huwezi kuitaja Tanzania ukaiacha CHADEMA, CHADEMA ni subset ya TANZANIA.

Nawakilisha
 
Niwape somo



kwenye comp yako nenda kwenye ms word type CHADEMA or CCM or TANZANIA then change font to wingdings then see what comes.
N:B Letters should be in uppercase
 
Back
Top Bottom