Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 38,349
- 47,661
Miaka ya hivi karibuni nimeshuhudia malori mengi ya ndani na kutoka nje ya nchi yakiwa yamebeba makaa ya mawe kutoka Ruvuma kwenda sehemu mbalimbali.
Matumizi hasa ya haya makaa ya mawe ni yapi ndani ya nchi na huko nje ya nchi yanakopelekwa?
Wafanyabiashara wadogo wadogo wanahitaji mtaji wa angalau kiasi gani kuweza kushiriki biashara hii na kuweza kunufaika na rasilimali hii muhimu ya nchi yao?