Nahitaji Makaa Ya Mawe Kwa Matumizi Ya Nyumbani

Money Bags

Senior Member
Jun 22, 2012
146
670
Naam Naam Wana Board

Husika na Kichwa Cha Habari Hapo Juu

Matumizi ya makaa ya mawe yamefanyiwa utafiti na kuonesha yanafaa kwa matumizi ya nyumbani na hayana moshi na huwaka kwa muda mrefu zaidi ya mkaa wa kawaida

Naomba Kujua Kwa Hapa Iijini Dar Nayapataje ?? Bei Zake na Mahala Yanapo patikana ?? Changamoto katika vyombo ya kupikia na mengine ni zipi katika kuyatumia ??

Regards
 
Unazungumzia mkaa jadidifu mkaa mweupe ..ndio "sooth-free" wengine huuita "brequette" , watafute shirika linaitwa 'tatedo' hapo unaweza pata link. Ila makaa ya mawe watafute kiwira coal , pia zama google.
 
Mkuu yapo sana we simamisha specialize haulers yoyote mwombe anakupa hata bure maana sometimes huwa wanayamwaga barabarani huku..si unataka kidogo tu au ulikuwa unataka tani yote ushushiwe kwako
 
Naam Naam Wana Board

Husika na Kichwa Cha Habari Hapo Juu

Matumizi ya makaa ya mawe yamefanyiwa utafiti na kuonesha yanafaa kwa matumizi ya nyumbani na hayana moshi na huwaka kwa muda mrefu zaidi ya mkaa wa kawaida

Naomba Kujua Kwa Hapa Iijini Dar Nayapataje ?? Bei Zake na Mahala Yanapo patikana ?? Changamoto katika vyombo ya kupikia na mengine ni zipi katika kuyatumia ??

Regards

Usijaribu ndugu kwanza ya moshi wa kutosha tu! Pia yanaharufu kali sana! Tatu utatoboa sufuria zako haraka zaidi yana moto mkali sana na ndiyo maana ni maalumu kwaajili ya kiwandani
 
Well kama moto ni mkali meaning si unawekwa kidgo mkuu ili uendane na uhitaji. Lol

Well nimeona mdau hapo juu kasema kuna mwingine mweupe ambao ni soft tofauti na huu mwingine.

Hapo imekaaje wakuu ??
 
Naombe unifafanulie zaidi hapa mkuu.

Je kwa matumizi makubwa ya upishi kuchoma nyama, migahawa mikubwa ya upishi na kukaanga na oka vitu mbali mbali imekaaje hii ??

Ahsante na Karibu Kwa Mawazo Mkuu.

Naomba kujuzwa na bei kwq hapa dar zinaendaje ??

Kimolah Kimolah Kimolah
 
Naam Naam Wana Board

Husika na Kichwa Cha Habari Hapo Juu

Matumizi ya makaa ya mawe yamefanyiwa utafiti na kuonesha yanafaa kwa matumizi ya nyumbani na hayana moshi na huwaka kwa muda mrefu zaidi ya mkaa wa kawaida

Naomba Kujua Kwa Hapa Iijini Dar Nayapataje ?? Bei Zake na Mahala Yanapo patikana ?? Changamoto katika vyombo ya kupikia na mengine ni zipi katika kuyatumia ??

Regards
Yatayeyusha sufuria zako bure!!!!
 
Mkuu yapo sana we simamisha specialize haulers yoyote mwombe anakupa hata bure maana sometimes huwa wanayamwaga barabarani huku..si unataka kidogo tu au ulikuwa unataka tani yote ushushiwe kwako

Yes mkuu wangu kdgo for domestic use. Ila nilikua napenda kujua kwa domestic market bei zake zipo vp ??
 
Naam Naam Wana Board

Husika na Kichwa Cha Habari Hapo Juu

Matumizi ya makaa ya mawe yamefanyiwa utafiti na kuonesha yanafaa kwa matumizi ya nyumbani na hayana moshi na huwaka kwa muda mrefu zaidi ya mkaa wa kawaida

Naomba Kujua Kwa Hapa Iijini Dar Nayapataje ?? Bei Zake na Mahala Yanapo patikana ?? Changamoto katika vyombo ya kupikia na mengine ni zipi katika kuyatumia ??

Regards

Kama matumizi yake yangalikuwa rahisi hivyo watu wangeacha kutumia mkaa wa kuni na wangekimbilia huko si unajua watu tumeumbwa kutafuta urahisi wa mambo.

Kifupi ni kwamba kuna makaa ya mawe ya aina mbili, yale yaliyosafishwa "Coke" ambayo ni ghali mno na sidhani kama haya yanapatikana hapa nchini, haya ndio hutumika kufanyia Smelting na extraction of iron.

Yaliyo ghafi "(Coal)" ndio yanapikana kwa wingi, Songea, Mbeya/kiwira nk, ili uweze kuyatumia unahitaji jiko maalumu kwani yanatoa joto kali sana pia yanahitaji hewa nyingi ya mfululizo ili yaendelee kushika moto isitoshe mwanzoni hutoa moshi na mwale wa moto na baadaye yakisha kuwa mkaa moshi unakata, jambo jingine huwezi kuweka mojakwamoja sufuria za Aluminium juu ya huo moto ama sivyo andika maumivu ya hasara za masufuria yako kila wiki, kinachoweza kufanyika labda utangulize bati gumu la "mm 5" hivi halafu ndio uweke juu yake sufuria lako nk.

Mimi huwa natumia hayo makaa (coal) katika furnace maalumu kwa ajili ya Aluminum casting, hivyo ninao uzoefu nayo kiasi fulani.
 
Mnaosema yatayeyusha sufuria
Vp ukifany kuyachanganya na mkaa wa kawaida

Huwezi kuyachanganya na mkaa wa kawaida ukapata matokeo unayo yahitaji, sababu, Mkaa wa mawe unahitaji a forced air/fan ili uendelee kuwaka wakati mkaa wa kawaida hauhitaji forced air wenyewe unahitaji conventional air/hewa ya kawaida, sasa ukichanganya inakubidi utumie forced air machine kufanya mkaa wa mawe uwake wakati humo umeweka mkaa wa kawaida, kitakachotokea ni mkaa wa kawaida kumalizika haraka sana na kuuacha mkaa wa mawe ukiendelea kuwaka na hivyo zoezi zima linakuwa failure, mkaa wa kawaida mara nyingi hutumika kidogp kuanzishia moto wa kuwasha hayo makaa ya mawe, moto wake sio wa kitoto na ndio maana inatakiwa jiko maalumu linaloweza kudhibiti hilo joto la sivyo mpishi hawezi kupika akiwa pale Karibu.
 
2011 Nilifika Kiwira Coal Mine pale kwa ajili ya field tour. Niliona kuna style wanaprocess hayo makaa ili kutumika kwa matumizi domestic kuna materials fulan ikijumuisha molases walikua wanachanganya (sikumbuki vizuri hii kada nilijitenga nayo zamani sana)

I hope Kiwira ingekua ni jibu zuri kwako.
 
Labda kama unafua vyuma ukayatumie hayo makaa ya mawe kufanya heat treatment,lakini kuhusu kupika happ naona unakaribisha hasara zaidi kuliko faida.

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom