Yapi ni matumizi ya makaa ya mawe kutoka Ruvuma?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,917
46,669
Miaka ya hivi karibuni nimeshuhudia malori mengi ya ndani na kutoka nje ya nchi yakiwa yamebeba makaa ya mawe kutoka Ruvuma kwenda sehemu mbalimbali.

Matumizi hasa ya haya makaa ya mawe ni yapi ndani ya nchi na huko nje ya nchi yanakopelekwa?

Wafanyabiashara wadogo wadogo wanahitaji mtaji wa angalau kiasi gani kuweza kushiriki biashara hii na kuweza kunufaika na rasilimali hii muhimu ya nchi yao?
 
Nasikia yanaenda viwandani huko Kenya na Arusha. Pia kwa Dangote.
 
Watanzania tuna hulka ya kuwa wazito kufanya maamuzi. Makaa ya mawe yalikuwa yanahitajika sana mpk miaka ya 1980s lkn hatukuwapa wawekezaji ili yatupatie faida.
 
Ukitaka kuona kiwango cha ujinga wa watanzania wote..hasa huko ccm na serikali kwa ujumla, ni kutokujua vitu gani tulipewa na mwenyezi Mungu kwa ajili ya nini..hajaweka makaa ya mawe hapa kwa bahati mbaya..lkn angalia miaka zaidi ya 60 leo tuna ZERO use ya makaa ya mawe kwenye uchumi, tumeshindwa hata kukopi yale wakoloni walianzisha yaliyokuwa yanatumia coal..watu wanajaza matumbo tu, kichwani sifuri..kuna rafiki yangu mmoja alituelezea hivi sisi watanzania, watz ni wepesi sana kukopi na kuwaza mambo ya hovyo yasiyo na faida, lkn mambo mazuri vichwa ni vigumu kutambua, sasa sijui ni laana..Yoda tatizo ni nini?
 
Wewe umeanzisha mjadala wa jambo zuri, nilidhani unaona parefu sana juu ya matumizi ya coal kumbe na wewe akili yako ni km ya kifaranga cha kuku..yaani Mungu aweke millions of tones za coal kwa ajili ya kupikia? r u kidding???!
Una ugomvi na jamaa? Mbona Mungu ameweka miti millions kwa millions kwa ajili ya kupikia? Nilishaulliza the same thing, wenye kemia zao wakasema coal ina kiwango kikubwa cha sulphur sijui na monoxide ambazo ni sumu kwenye mazingira ya nyumbani. Idea yangu ilikuwaga kujenga nyumba yenye fire place hapo Arusha halafu niwe natumia makaa ya mawe kipindi cha winter.
Lakini pia nilishaambiwa kuna vikundi vinauchakata na kuuuza, ila sijui kama unakuwa na tabia za coal au charcoal au in-between
 
Miti si kwa ajili ya kupikia km main source of fuel..
 
Miaka ya hivi karibuni nimeshuhudia malori mengi ya ndani na kutoka nje ya nchi yakiwa yamebeba makaa ya mawe kutoka Ruvuma kwenda sehemu mbalimbali.

Matumizi hasa ya haya makaa ya mawe ni yapi ndani ya nchi na huko nje ya nchi yanakopelekwa?

Wafanyabiashara wadogo wadogo wanahitaji mtaji wa angalau kiasi gani kuweza kushiriki biashara hii na kuweza kunufaika na rasilimali hii muhimu ya nchi yao?
Umeme hasa Ulaya baada ya Gas ya Russia kukosekana.
 
Watanzania tuna hulka ya kuwa wazito kufanya maamuzi. Makaa ya mawe yalikuwa yanahitajika sana mpk miaka ya 1980s lkn hatukuwapa wawekezaji ili yatupatie faida.
Tumezubaa sana, Sijajua kwa nini pamoja na matatizo yote ya umeme hatujawahi kuwa na mitambo ya kuzalisha umeme kwa makaa ya mawe hapa nchini wakati ni teknolojia ya kawaida tu ya kizamani.
 
Watanzania tuna hulka ya kuwa wazito kufanya maamuzi. Makaa ya mawe yalikuwa yanahitajika sana mpk miaka ya 1980s lkn hatukuwapa wawekezaji ili yatupatie faida.
Yanahitajika wapi? akili ya kufikiria mwekezaji ndiye anajua matumizi ya kitu kiko nyumbani kwako kuliko wewe ni utegemezi mbaya kabisa wa kitumwa! Fikiri kwa nini umepewa wewe hajapewa mwingine..utajua matumizi yake ili wewe utumie kwanza kabla ya kuwapa wengine.
 
Back
Top Bottom