Yanga v/s Simba

Bado bila bila dak ya 15 hvi...ila simba wamewakamata kandambili kila idara
 
Araway ya kweli hayo! Hebu mashuhuda zaid watujuze yanayojiri hapo Taifa, ni kweli Mnyama anaongoza?
 
kaka nimegundua reduioyangu ya kichina dakika zinayoyoma kipindi cha kwanza bao ni bilabila lakini mnyama kawashika vibaya kandambili
 
araway tunashukulu kwa taarifa nzuri vip hilo goli limefungwa na nani.Kandambili poleni sana
 
Half Time Bado milango migumu kote..Ball Possesion Simba 69 % Yanga 30% na Refa 1%
 
sawa, lkn je ile mechi ya ngonrongoro heroes na somalia jana, mbona matokeo siyaoni kwenye vyombo vya habari online? unaweza kuwa mnyenyekevu ukanihabarisha juu ya matokeo yale pia, ewe senator?
 
Half Time Bado milango migumu kote..Ball Possesion Simba 69 % Yanga 30% na Refa 1%
Yanga ndio wamefanya mashambulizi ya uhakika kama mara 3 hivi, Simba mara 2 na Yanga wanamiliki sana mpira na wanaelekea kushinda mechi hii, defence ya Simba iko nyanya sana tusubiri kipindi cha pili.
 
YANGA LEO KIDUMEEE SIMBA dada TU hahahahahahahahahaha
mwisho wa Game yanga 3 simba 0
 
sawa, lkn je ile mechi ya ngonrongoro heroes na somalia jana, mbona matokeo siyaoni kwenye vyombo vya habari online? unaweza kuwa mnyenyekevu ukanihabarisha juu ya matokeo yale pia, ewe senator?

Ngorongoro walifungwa moko na hawa wahabeshi wa Elitrea na Game ilichezwa J2..
 
Matokeo na Somalia bado sijayapata muungwana naona walicheza Jana..Ukiona kimya uje hali tete kwa wawakilishi wetu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom