Yanga v/s Simba

Nimeiona hiyo G Publisher kuwa pweza kala kwenye bakuli la simba kwa hiyo leo jangwani ni kilio tu!!
 
Sasa wadau mlijua ukweli!?! ...Simba wapo juu na watashinda tu manta hofu
 
Wabongo kwa kupenda kuiga hatujambo.Hiyo ni photoshop bwana hakuna lolote apo.
 
Pengo plz endelea kutu update na uwe fair hata kama timu yako imefungwa
 
mlio uwanjani tunaomba muendelee kutupa update kama mnazotoa kwenye world cup.. mida hii wengine hatuwezi kuangalia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom