fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,623
- 8,199
wamelipia gharama za malazi na kiwanja sasa?Nashangaa kwanini Yanga inataka kuwakomoa Simba, wao wameshavuka na wapo Misri lakini malazi ya Jwaneng Galaxy yapo Kigamboni.
Ila tutaingia tu robo fainali.
Sent using Jamii Forums mobile app