Yanga kama chadema

sudan mtani ulishindia maziwa ya ngamia na ugali aliosonga victorcosta hela yote ukamaliza kununua penat za yanga,. Sjawai ona duniani ndani ya dk90 timu inapiga penat3,. Kweli tz kila kitu chawezekana,.
Sasa kama mabeki wanacheza faulo ulitaka refa aache tu kwa sababu penati zitakuwa nyingi, kama mngeendelea na faulo zenu za kijinga zile hata penati kumi zingefika sawa tu.
 
watu wakisema ukweli inaonekana nomaaaaaaaaaaaa yanga timu kubwa, Chadema Chama kubwa, tatizo wanaaoambiwa wamelewa akili bilaa kunywa maji hivyo wakajisahau,nakupa mfano mmoja wanasema CCm oyeeee chama kina wajali watu wake kitajenga kiwanda pale kilombelo kusudi uzalishashi wa sukari uongezeke wakati watz tunasuburi leo bei ya sugar ipungue tunywe chai matumaini yamekufa hilo nalo la kutufanya tushangilie kama sio ulevi??????????? Mwenyekiti wa CDM baba yake alikuwa rafiki wa baba wa taifa sasa Mbowe anaona maisha yaliyokuwepo ezi ya baba zake hayafanani na wakati tulio nao yeye akae kimya tu kisa asikiseme chama cha Mapinduzi????? mamilioni ya fedha yanaliwa na wachache huku Wtz mamilioni wanakula mlo mmoja tena kwa kubahatisha Mbowe akae kimya???? Gari la zimamoto linakosa magurudumu Tabora mali zawatu zinaungua na kuteketea kabisa kweli hatuna uwezo wa kununua hayo mataili 4 ???? ni kweli usiopingika watawala wameshindwa,Viongozi wa yanga kushindwa kuwalipa wachezaji wake haki zao lakini wanataka kutawala ni kosa wachezaji wametimiza wajibu wao haki yao iko wapi? ndio kisa cha kungwa bao tano na mtani wake Simba na yeye bila kujua anachekelea bila kuangalia kisoni kwake. Mujwahuzia
Kwa maelezo yako haya naona Yanga is equavalent to CCM, huku wanajivua gamba huku wanafukuza Viongozi.
 
na zile 12 ukishindia maziwa ya ngamua pale sudan hadi mwenyekiti akalala reception kwa kukosa hela hata ya gest unafkiri nani atabaki
Hizo 12 mnaziona nyie ili iwaletee faraja lakini ukweli ni kwamba Simba ilifungwa magoli matatu in regular time na sio 12.
 
Back
Top Bottom