Yanga kama chadema

ndomyana

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
5,511
2,034
Hii timu naifananisha na chadema make kasi ya chadema kupokea wanachama wapya kwenye ngome ya ccm kusini, ni sawa na kasi ya yanga inavobomoa mgome ya mpinzani simba,. Karibu peponi yondani na nyoso,. Mmekataa kuongozwa na gamba
 
you have 1 new LIKE from mr Yahoo!
 
ndomyana: Yondani kwa taarifa yako amekimbia Gwanda(neema) ameenda kujivisha Gamba(balaa) ''maamuzi yake atayajutia''
 
Unajua siku ya tar 6 May 2012, nilikuwa naona ni siku ya kawaida tu kama siku zingine kumbe kuna watu iliwachanganya sana.
 
Washabiki wa yanga kila mara wanachanganya mambo ya soka na siasa, na matokeo yake Yanga imeendelea kuwa tegemezi kwa kila kitu, wamebinafsisha akili
 
lazima ichanganye watu mzee, 5-0 si mchezo ktk karne hii.
Nadhan ndo kipigi hicho kinawapa nguvu ya kuibomoa Simba, lakini wasiwasi wangu wasije kuwa wanawatumia wachezaji wa Simba kama turufu za uchaguzi baadaye kufikia mwisho wa msimu tusikie wachezaji wanapewa posho za elfu kumi huku wakisafiri kwenda Mwanza na Bukoba.
 
aswaaaa!!
 
kile kilabu cha pombe sikina ongozwa na ccm wewe hujui kiongozi wao mbunge
 
ndomyana: Yondani kwa taarifa yako amekimbia Gwanda(neema) ameenda kujivisha Gamba(balaa) ''maamuzi yake atayajutia''

mtani inauma ee,. Hyo ndo yanga bwana si atupigi kelele ka alshababu anavyopayuka,. Tunawavua gamba tu,.
 
lazima ichanganye watu mzee, 5-0 si mchezo ktk karne hii.

na zile 12 ukishindia maziwa ya ngamua pale sudan hadi mwenyekiti akalala reception kwa kukosa hela hata ya gest unafkiri nani atabaki
 
Nadhan ndo kipigi hicho kinawapa nguvu ya kuibomoa Simba, lakini wasiwasi wangu wasije kuwa wanawatumia wachezaji wa Simba kama turufu za uchaguzi baadaye kufikia mwisho wa msimu tusikie wachezaji wanapewa posho za elfu kumi huku wakisafiri kwenda Mwanza na Bukoba.

sudan mtani ulishindia maziwa ya ngamia na ugali aliosonga victorcosta hela yote ukamaliza kununua penat za yanga,. Sjawai ona duniani ndani ya dk90 timu inapiga penat3,. Kweli tz kila kitu chawezekana,.
 
na zile 12 ukishindia maziwa ya ngamua pale sudan hadi mwenyekiti akalala reception kwa kukosa hela hata ya gest unafkiri nani atabaki

...nyie Bwana wenu Manji aliwatema last season mkakosa pesa za kuongea hadi Toto Africa akawavua Chupi, sasa subiri tarehe 15 June 2012 vyombo vitakavyoshushwa pale Msimbazi.
 
Kwani mmebadili rangi?

yanga+group+na+shebi.JPG
 
watu wakisema ukweli inaonekana nomaaaaaaaaaaaa yanga timu kubwa, Chadema Chama kubwa, tatizo wanaaoambiwa wamelewa akili bilaa kunywa maji hivyo wakajisahau,nakupa mfano mmoja wanasema CCm oyeeee chama kina wajali watu wake kitajenga kiwanda pale kilombelo kusudi uzalishashi wa sukari uongezeke wakati watz tunasuburi leo bei ya sugar ipungue tunywe chai matumaini yamekufa hilo nalo la kutufanya tushangilie kama sio ulevi??????????? Mwenyekiti wa CDM baba yake alikuwa rafiki wa baba wa taifa sasa Mbowe anaona maisha yaliyokuwepo ezi ya baba zake hayafanani na wakati tulio nao yeye akae kimya tu kisa asikiseme chama cha Mapinduzi????? mamilioni ya fedha yanaliwa na wachache huku Wtz mamilioni wanakula mlo mmoja tena kwa kubahatisha Mbowe akae kimya???? Gari la zimamoto linakosa magurudumu Tabora mali zawatu zinaungua na kuteketea kabisa kweli hatuna uwezo wa kununua hayo mataili 4 ???? ni kweli usiopingika watawala wameshindwa,Viongozi wa yanga kushindwa kuwalipa wachezaji wake haki zao lakini wanataka kutawala ni kosa wachezaji wametimiza wajibu wao haki yao iko wapi? ndio kisa cha kungwa bao tano na mtani wake Simba na yeye bila kujua anachekelea bila kuangalia kisoni kwake. Mujwahuzia
 
Back
Top Bottom