Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 8,959
- 7,062
Nikweli hata mimi hapo awali nilifikiri kama wewe lakini hawa wachezaji ni binadamu ambao huwezi fikiria wanachowaza, viwango vyao, (skills), vinasababisha vilabu vingine viwawahitaji na kuwarubuni hatakama kuna gharama za kuvunja mkatabaUnapokuwa na Project/ Malengo ya Muda mrefu Lazima uwe na uwezo wa kuwa na wachezaji Angalau kwa miaka mitano.
Otherwise tutakuwa TUNAPINGA mark time.