Yanga imetikiswa na inasimama mwishoni

Mimi lunyasi ila kwako Sioni tatizo nmeliona tatizo
Yanga sio hawajasajili wachezaji wa kureplace hapana
Hawajasajili kwenye database ya TFF na kusajili kila mchezaji ni mchuzi na yanga kwa sasa sjui hela hamna sijui
ili wasajili kwenye data base ya tff na CAF inabidi kwanza walipe deni la aliekua kocha wao,bado siku 10 zimebaki hakuna asietaka kukamilisha usajili mapema ili aepuke usumbufu apo baadae
 
Mkuu, embu tuongee kama watu ambao tupo jukwaa la Great Thinkers.

Unambakisha vipi mtu ambae huwezi kumlipa kiasi kile ambacho anaweza akakipata nje? Assume Pyramids wanamlipa Mayale 40m per month. Je, unaweza kumlipa huo mshahara? Unajua changamoto ambazo zinajitokeza endapo kwenye timu kuna mtu mmoja analipwa mshahara mkubwa zaidi kuliko wengine? At least kuwe na 3 au 4.

Azizi Ki amefeli vipi? Kwako Bakari Mwamnyeto amefaulu? Mwamnyeto hakupita kipindi kigumu Yanga mpaka namba 5 akawa anacheza Bangala? Baadae si akakaa sawa akarudi ktk namba yake Mwamnyeto?

Mpira upogo hivyo Broh, kuna kipindi mchezaji anapanda na kuna kipindi anashuka. Suarez alinunuliwa kwa dau kubwa na Barca, mwaka mzima wa kwanza hakuna alichokuwa akifanya, wa pili akabeba kiatu.

Hapa Bongo wapo wengi tu ambao waliwahi kukwama mwaka wa kwanza na wa pili wakapasua, na kuna waliowahi kupasua mwaka wa kwanza, miaka ya mbeleni wakafeli.
 
Mwache usimpe maarifa huyo mbumbumbu
Acha ajipofue
Yanga tupo bize na sikukuu yetu ya jmos
Tukimaliza privadinho anachukua laptop nusu saa anamaliza kazi
 
wanaficha ficha tu ila hio ipo wazi wamlipe kocha wao kwanza
Kocha ashalipwa tayari
Kusajili online usidhani ni ngumu kama kupasua miamba ni kukaa na laptop dakika 20 zoezi limeisha
Kwenye riport hiyo simba amesajili wachezaji 7 sasa kwa akili yako unadhani ndo kasajili kamaliza
 
Timu zetu kumshikilia mchezaji aliefanya vizuri ni ngumu sana.

SImba au yanga hawawezi tunishiana misuli na timu kubwa za kaskazini.
Tutajifariji tu eti oooh sisi tulitaka pesa, mpira biashara, mwache aende kwani wameondoka wangapi. Nk ila mwisho wa siku uwezo wa kibunda kumbakisha mchezaji aliefanya vizuri na anatakiwa na timu kubwa ni mdogo sana.
Mimi nashangaa watu wanatokwa povu hao Asec Mimosa kila msimu wanauza wachezaji na bado tunawaona CAF competitions yaani mashabiki wanataka timu zao zinunue tu bila kuuza huo ni mpira wa wapi?
 
Msimu uliopita Yanga walipata changamoto kidogo kumbadilisha Kisinda na Kambole siku za mwisho za usajili kwa hiyo nadhani hawataki ijirudie
 
ili wasajili kwenye data base ya tff na CAF inabidi kwanza walipe deni la aliekua kocha wao,bado siku 10 zimebaki hakuna asietaka kukamilisha usajili mapema ili aepuke usumbufu apo baadae
Ni timu ngapi za ligi kuu haizija kamilisha usajiri nazo zinadaiwa na huyo kocha?
 
Kuna watu mnateseka mpaka basi. Yaani pilipili ziko shamba, lakini bado zinawawasha nyinyi mlioko mtaani!!
 
YANGA haijakamilisha usajili WA CAF kwenda TFF KWASABABU YANGA ILIFUNGIWA KUFANYA USAJILI.

kwa KIFUPI timu zinazoshiriki mashindano ya CAF.
CAFCL.
CAFCC.

Zinatakiwa zitume majina TFF then TFF ITUME majina CAF

TFF wametoa taarifa Ili Angalau yanga wajiandae mapema isije ikawa kama 2020 majina ya Aucho, JUMA Shaban na Mayele kutoenda CAF.

NATUMAINI NIMEELEWEKA.
 
Kama ndio unajiona ni mshabiki wa mpira basi una safari ndefu sana, maana hata taratibu tu na sheria ndogo ndogo zinakupiga chenga.

Kwahiyo wewe unaona Azam wana wachezaji 7 tu hao saba waliandikwa hapo ndio waliosajiliwa kwenye dirisha la msimu huu? Vipi Simba msimu huu wamesajili wachezaji 24 wapya? Kwahiyo timu ikifungiwa kusajili hairuhusiwi kuwa hata wachezaji wa zamani?

Hilo haihusiani na maswala ya kufungiwa isipokuwa Yanga bado hawajaingiza majina ya wachezaji wao watakaotumika katika mashindano ya CAF, na hilo ni kutokana na hali ya msimu uliopita ambapo ilitokea sintofahamu ya jina gani la kulitoa kwenye system hivyo wameamua ku clear kwanza kila kitu ndipo waingize majina ya wachezaji kwenye system
 
Siwezi hata nikakujibu.

MJINGA ni kumkalia kimya Ili MAKELELE yasiendelee
 
Habari wakuu.

Nimeona nizungumzie kidogo usajili wa Yanga unaoendelea.

Nimekuwa nikifuatilia mpira kwa kiasi chake.

Nimekuwa nikimsikia Jose Mourinho anaposisitiza usajili Bora ndani ya Klub ni kuhakikisha kubaki na wachezaji wako Bora zaidi kikosini.

Mfano miaka ya Karibuni Simba ilitikisika mno Baada ya kuwauza na kuachana wachezaji wake tegemeo Clatous Chama, Luis Miquesson, Larry Bwalya, Thadeo Lwanga n.k

Naona yanga wameshidwa kuwabakisha wachezaji wake Muhimu mno ndani ya misimu miwili.

1. SAID NTIBAZONKINZA
2. FEISAL SALUM.
3. FISTON MAYELE.
4. JUMA SHABAN.
5. JOYCE LOMALISA.
6. YANIC BANGALA.
7. BENARD MORISON.

Naona ghafla wameamua kufanya usajili mzuri kutoka Asec Mimosa.

Je, ikitokea wachezaji wakashindwa kufanya vizuri kama Azizi ki itakuwaje?

Je, wataweza ku copy haraka na kufanya vizuri Katika ligi ya mabingwa maana hakuna mteremko wa kwenda shirikisho.?

Hapo hapo imepoteza Benchi lote la ufundi.

Niwashauri yanga kukaa na wachezaji kwa Muda mrefu iwe angalau kwa miaka isiyopungua 5.

ILa vilabu vyetu bado vina ubabaishaji mwingi sana.
Ni ngumu kukaa na mchezaji kwa muda mrefu mpira ni biashara pia hawa wacheza hushuka viwango ama kupanda na hao wachezaji wanaishi kwa malengo , wanatakiwa wazitafute fursa
 
Unapokuwa na Project/ Malengo ya Muda mrefu Lazima uwe na uwezo wa kuwa na wachezaji Angalau kwa miaka mitano.

Otherwise tutakuwa TUNAPINGA mark time.
 
Back
Top Bottom