Yanayowapata Yanga yanaweza kuwakuta na simba

Sababu ya kijinga hiyo. Nani aliyekwambia mpira wa siku hizi unanyumbani na ugenini. Tazameni mpira ya ulaya then ndio mtajua mpira vizuri. Mbona Azam non stop.
Nadhani utakuwa umepata majibu ya yaliyotokea pale mkwakwani,hata huko unakosema ulaya hii ishu ipo pia wote tunaangalia na kufatilia hizo ligi.
 
haya sasa shughuli imeanza,bado matokeo mengine yanakuja,tusubiri
 
Kwa hiyo mkuu kwa hiyo mechi moja Simba kutoa draw unataka kujiaminisha kwamba ulichosema ni kweli? Kwa taarifa yako tu Simba na Yanga zitacheza mechi nane nje ya Dar es Salaam, tayari Yanga ashapoteza mbili na draw moja na Simba amedraw moja; basi tuambie kati ya saba zilizobaki atafungwa ngapi na kudraw ngapi maana inaonekana wewe ni mfuasi wa marehemu sheikh Yahya.
 
Hahaha,ngoja nimjibie,ata draw zote kisha atafungwa 1 na toto.
 
Dalili ya mvua ni mawingu...
Maumivu ya kichwa huanza polepole...
Mwanzo wa ngoma ni lele....
The darkest hour comes just before dawn....
 
Hahaha,ngoja nimjibie,ata draw zote kisha atafungwa 1 na toto.
Mkuu round ya kwanza mechi ngumu zilizobaki ni ya Mtibwa na Azam tu, wengine wote sio wagumu kihivyo, Toto anachagizwa na rangi za njano na kijani tu lakini uwanjani hana ufundi wa kumzuia mnyama, yaani kikosi cha kwanza kiwe na majembe golini Kaseja, mbili Chollo, tatu Maftah, nne Nyoso, tano Kapombe, sita Kiemba, saba Ngasa, nane Kazimoto, tisa Sunzu, kumi Boban na kumi na moja Okwi bado kuna wa kutuzuia kweli hapo, anyway labda kwa sababu ni mambo ya mpira hatuwezi kuwa na uhakika sana, kama hujui nini ninachoongea kawaulize Demba Ba na Demba Cisse au kawaulize Alex Song na Samuel Etoo.
 
Kwa hiyo mkuu kwa hiyo mechi moja Simba kutoa draw unataka kujiaminisha kwamba ulichosema ni kweli? Kwa taarifa yako tu Simba na Yanga zitacheza mechi nane nje ya Dar es Salaam, tayari Yanga ashapoteza mbili na draw moja na Simba amedraw moja; basi tuambie kati ya saba zilizobaki atafungwa ngapi na kudraw ngapi maana inaonekana wewe ni mfuasi wa marehemu sheikh Yahya.
nadhani matokeo ya jna na kagera sugar umeyaona
 
Madai yako yalikuwa ni mechi nje ya Dar es Salaam, kwani hiyo ya Kagera sugar ilichezwa wapi vile?
ni sawa kabisa unavyosema ila yote ni matokeo yasiyo ridhisha,tusubiri kesho Tanga
 
Sawa mkuu ngoja tusubiri hiyo kesho, lakini mimi nakuhakikishia Mnyama atashinda zaidi ya nusu ya mechi zote atakazocheza nje ya Dar es Salaam.
 
Hahaaaaa ndugu yangu masuke umeona shughuli hiyoo.................mnyama kapigishwa kwata.....droo nyingine hiyo mkwakwani....bado shughuli inaendelea
 
Mkuu round ya kwanza mechi ngumu zilizobaki ni ya Mtibwa na Azam tu, wengine wote sio wagumu kihivyo, Toto anachagizwa na rangi za njano na kijani tu lakini uwanjani hana ufundi wa kumzuia mnyama, yaani kikosi cha kwanza kiwe na majembe golini Kaseja, mbili Chollo, tatu Maftah, nne Nyoso, tano Kapombe, sita Kiemba, saba Ngasa, nane Kazimoto, tisa Sunzu, kumi Boban na kumi na moja Okwi bado kuna wa kutuzuia kweli hapo, anyway labda kwa sababu ni mambo ya mpira hatuwezi kuwa na uhakika sana, kama hujui nini ninachoongea kawaulize Demba Ba na Demba Cisse au kawaulize Alex Song na Samuel Etoo.

Kadri ligi inavyoendelea hizi post nyingine unaweza kujikuta mtu unatamani kuzitoa.....
 
Naona mkuu unafuatilia post zangu kwa makini sana, hadi kufika may mwakani utajua kwamba hizi post ni valid.
 
Mnaukumbuka huu uzi? du aliyeanzisha hii utafikiri aliona mbele vile ukilinganisha mwenendo wa simba na yanga sasa kwenye ligi inayoishia ukingoni raundi ya kwanza,poleni sana wanamsimbazi pia nakumbua siku ya yanga na azam pale taifa jukwaa la simba lilikuwa kimya tangu dakika ya kwanza mpaka mwisho yaani walitia huruma hata masuke kama alikuwepo atakuwa shahidi,uwiiiiiii mnakumbuka lile sanamu walilobeba mashabiki wa yanga? aisee ilikuwa siku tamu sana,niligonga viloba vya konyaji kumi bila stimu
 
Your Exellence Nakapanya siku ya tarehe 9 Oktoba 2012 saa 22:29 kabla hujalala ulitabiri vyema. Yanayotokea pale Msongamanoni uliyaona na kuyaandika mapema ili yatakapotokea tujue kuwa watabiri bado wapo licha ya Sheikh Yahaya ku-carras. Thank you very much for this useful post.
 
Tangu kuanza kwa ligi kuu ya vodacom Tanzania bara Yanga imecheza takribani mechi tatu za ugenini(nisahihishwe kama nimekosea),katika mechi hizo kafungwa mechi mbili(Mtibwa na Kagera sugar) na wametoa droo mechi kama moja hv(Tanzania Prisons),na Yanga wamecheza mechi takribani mbili katika uwanja wao wa nyumbani(DSM) na wakashinda moja na kutoka sare moja.ukiangalia kwa mwenendo huu inaonyesha wazi kabisa kuwa pafomansi ya yanga katika mechi za ugenini nmi wabovu sana.Ka kuangalia hili naona wazi kabisa linaweza kutokea KWA TIMU YA SIMBA ambao tangu mwanzo a ligi mechi zao zote wamecheza DSM na kuwa na matokeo ya kufurahisha.
hofu yangu inakuja pale amb a[po simba na wao watakapoanza kucheza mechi katika viwanja vya ugenini,je hayatawakutab kama haya yanayowakuta Yanga hivi sasa?

Teh teh dah mkuu ulimopita ni mulemule yani...
Watu kama ninyi ndo manabii wa kweli.
 
Back
Top Bottom