⚡️Al-Qassam walichapisha matukio kutoka kwa ufuatiliaji wa wapiganaji wao na kufuatiwa na kuwavizia askari waliovamia katika eneo la Juhr Al-Dik, kusini mashariki mwa eneo la Zaytun.
 
Idf wanakufa, sema media za magharibi zinaficha tu

Vita ya ardhini ni zero kabisa hao jamaa, hata wapiga matofali wanawamudu vizuri tu
Kupigana na mtu ambaye yuko field kila siku ni kazi sana idf wengi Ni reserve hawako train kukabiliana na commandos wa hamasa, watapukutishwa Sana. Hata wanajeshi wa USA siyo wazuri kwenye face to face wanasaidiwa sana na ndege na vifaa bora walivyo navyo. Sasa IDF kwenye Urban combat watachinjwa sana.
 
Wanasema USA wanataka kuivamia ndo maana wako tayari kwa lolote.
Wanaukumbi.
Ripoti kwamba Jeshi la Iran limejiweka tahadhari na kuanzisha mazoezi makubwa ya kijeshi lipo tayari kwa vita kuanzia sasa hivi.
==========================
BREAKING: Reports that Iran's Armed Forces raised their alert level and launched a large military exercise.

View attachment 2820828

Source: Israel Today.
 
Hakuna vita ngumu kama urban warfare, imagine unapita katikati ya barabara ya mtaa na silaha halafu kulia na kushoto kuna majengo mabovu, mbele kuna magari mabovu. Hujui adui yupo kajificha wapi, unashangaa tu risasi zinatokea upande wa kulia kwenye kadirisha ka ghorofa lillilotelekezwa, unaanza kukimbia ku take cover kuja kuangalia wenzako kama wanne wapo chini.

Hii inapelekea Israel kupiga kila mahala baada ya kuchanganyikiwa, Hawa Hamas wanatoka nyumba nyingine kuelekea nyingine kupitia tunnels.

Lakini ukimwambia myahudi wa Namtumbo hakuelewi, Hamas hadi kuchimba hizo tunnels ina maana wanazifahamu sana sehemu nyingi na hayo mazingira kuliko hao vijana wa IDF, hata mission ya Navy Seal kwenda kummaliza Osama walifanya mazoezi kwa miezi kwa mfano wa nyumba ya Osama, hivyo vitani kufahamu maeneo au mitaa hasa urban warfare ni advantage kubwa,Hamas wanajua pa kuingia na kutokea, ku take cover, hao madogo wa IDF lazima waujue tu utamu wa asali.
 
HAMAS YASEMA IMESHARUSHA MPIRA,UKO MIKONONI MWA ISRAEL.NETANYAHU AKUTANA NA BARAZA LAKE KUUCHEZA MPIRA WA MATEKA.
wa kundi la Hamas linaloendelea na vita na Israel limesema wameshapeleka mapendekezo yake kwa viongozi wa Israel ili waweze kuwaachia mateka 50 wa mwanzo kati ya zaidi 240 wanaoendela kuwashikila.
Katika maelezo yao,Hamas wamesema wanachotaka ni kuachiwa kwa wafungwa 150 tu wa kipalestina walio ndani ya magereza ya Israel na pia kusitishwa kwa vita kwa siku 4-5 ili waweze kuwakushanya mateka hao na kuwakabidhi kwa Israel.

Sharti lao jengine ni kuruhusiwa kwa misaada muhimu japo kidogo iweze kuwafikia watu wao walio hatarini kufa kwa njaa na kwa kukosa matibabu.

Katika tamko lao hilo lililonukuliwa na vituo vya habari ikiwemo Aljazeera,Hamas wamesema hayo ni masharti mepesi sana waliyoweka ili kufanikisha kupatikana kwa mateka hao.

Jioni hii baraza la kivita la Israel linalojumuisha wabunge machachari wa kiyahudi limekutana chini ya mwenyekiti wake,jwaziri mkuu ,Benjamini Netanyahu

Kwa mujibu wa mwandishi Mahmoud Jamjoun anayefuatilia maendeleo ya kikao hicho cha Netanyahu ni kwamba mawaziri wawili tu wahafidhina ndio waliotoa matamko makali ya kupinga masharti hayo ya Hamas,lakini wengi wao wamesema watapiga kura kufanikisha mapendekezo hayo ya Hamas.

Kuachiliwa kwa mateka hao 50 kunaweza kukampa nafuu waziri mkuu,Benjamin Netanyahu ambapo ndugu wa mateka walioko mikononi mwa Hamas wameendelea kumuandama waziri mkuu huyo kuwarudisha ndugu zao ambao mpaka leo ikiwa ni karibu mwezi wa pili wa vita vikali hawakuweza kuwafikia na kuwaokoa.
Baadhi ya masharti hayo ya Hamas ni hayo

View: https://www.youtube.com/watch?v=m8ykj36uG2E
 
Hakuna vita ngumu kama urban warfare, imagine unapita katikati ya barabara ya mtaa na silaha halafu kulia na kushoto kuna majengo mabovu, mbele kuna magari mabovu. Hujui adui yupo kajificha wapi, unashangaa tu risasi zinatokea upande wa kulia kwenye kadirisha ka ghorofa lillilotelekezwa, unaanza kukimbia ku take cover kuja kuangalia wenzako kama wanne wapo chini.

Hii inapelekea Israel kupiga kila mahala baada ya kuchanganyikiwa, Hawa Hamas wanatoka nyumba nyingine kuelekea nyingine kupitia tunnels.

Lakini ukimwambia myahudi wa Namtumbo hakuelewi, Hamas hadi kuchimba hizo tunnels ina maana wanazifahamu sana sehemu nyingi na hayo mazingira kuliko hao vijana wa IDF, hata mission ya Navy Seal kwenda kummaliza Osama walifanya mazoezi kwa miezi kwa mfano wa nyumba ya Osama, hivyo vitani kufahamu maeneo au mitaa hasa urban warfare ni advantage kubwa,Hamas wanajua pa kuingia na kutokea, ku take cover, hao madogo wa IDF lazima waujue tu utamu wa asali.
Hezibolla wameteketeza kambi na kikosi kizima Cha Israel

View: https://youtu.be/MVZwqDW8Ijw?si=EUoj_KZRwVF2ClgL
 
Back
Top Bottom